PAROKO: Tusikae kimya sasa kusubiri Miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari.

Hayo maneno yanatakiwa yafanyiwe bold kabisa na kwekewa lamination
 
Hawa ndio wale wenye tabia za vinyonga.
Wanabadilika kulingana na Mazingira
Vinyonga ni wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 mfululizo baadae akawa mtu sahihi zaid kuwania Urais kupitia Chama Chao

vinyonga ni wale waliomsakama JPM na kumtisha akidhibiti wawekezaji wa nje wasio waaminifu ataianganiza nchi na sasa wanapita kumtangaza alikuwa Rais mwenye uchungu na Nchi


Vinyonga ni wale waliowatangazia hawatashiriki uchaguzi Mkuu wa 2025 bila ya Katiba mpya lakini sasa hivi hawakosekani kwny vikao kazi vya maandalizi ya chaguzi zijazo ( na posho nene wanasaini) japo hakutakuwa na Katiba mpya
 
Tatizo lako wewe una uchama mwingi sana. Wewe ni mtu wa kusifia kila jambo hata kama hajaupiga mwingi still unampa credit yule mama.
 
Ukilinganisha Vyama, CCM ina Vinyonga wengi sugu na Waliobobea Kuliko vyama vingine vyote Tz
 
Mastermind mzee wa Msoga nae alikuwa anaandika kitabu sema hadhina kubwa ya uandishi huu ulikuwa marehemu Adam G isara aliyekuwa msaidizi wake. Ila naamini kitabu chake mwakani kitatoka tutajua naye atakiri kama mkapa au ataleta porojo.
 
Mastermind mzee wa Msoga nae alikuwa anaandika kitabu sema hadhina kubwa ya uandishi huu ulikuwa marehemu Adam G isara aliyekuwa msaidizi wake. Ila naamini kitabu chake mwakani kitatoka tutajua naye atakiri kama mkapa au ataleta porojo.
Kinahaririwa Newtork hivi sasa

anasubiri wakati muafaka atakizindua.
 
Jk atakuwa na mengi ya kuongea ila sema ni mwanadiplomasia atafunikq kwa fasihi andishi. Napenda aliongelee la kumunua wapinzani lilipoanza, Kulainisha wabunge, Jecha alivyo racket ushindi wa shein, Gesi ya mtwara ni nani anafaidika , mkongo wa taifa unamunufaisha nani maana lilianza wakati wake hili la submarine cable.
 
Ukishindana na huu waraka wa wakatoliki utaumia, Mungu awabariki Sana mapadre na Maaskofu Kwa uchungaji wao mwema Kwa Taifa lao pendwa Tanzania
 
JPM ndiye aliyepotoshwa kuhusu bandari ya Bagamoyo na uwekezaji uliotaka kufanyika baada ya kugundua kuwa kaingizwa choo cha kike akamtimua Kapilimba.
Kama iliwezekana kumpotosha JPM, kumbe inawezekana kumpotosha Samia pia
 
hata Royal tour tulipinga na kukejeli sana lakini baad ya mafanikio yake tumeufyata …angalau Bagonza juzi amekiri mafanikio ya sakta ya Utalii

msijipe umungu wa kujifanya mmeshaiona 2030!
Tunaomba takwimu za mafanikio ya royal tour mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…