kwa hiyo wale watoto wa Sunday school wanaoumizwa na Mapadri ni kwa kuwa wamepinga waraka ?Ukishindana na huu waraka wa wakatoliki utaumia, Mungu awabariki Sana mapadre na Maaskofu Kwa uchungaji wao mwema Kwa Taifa lao pendwa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo wale watoto wa Sunday school wanaoumizwa na Mapadri ni kwa kuwa wamepinga waraka ?Ukishindana na huu waraka wa wakatoliki utaumia, Mungu awabariki Sana mapadre na Maaskofu Kwa uchungaji wao mwema Kwa Taifa lao pendwa Tanzania
Tusubiri shughuli za mwekezaji zinaanza Oktoba mwishoni.Kama iliwezekana kumpotosha JPM, kumbe inawezekana kumpotosha Samia pia
Wote Sukuma Ndani!Maana yake hata kinga haitamhusu na ataishia jela yeye na wapambe wake
Atasukumwa Ndani Chap ChapKweli kabisa. Hii dharau mtu anafanya makosa kwa kukusudia akisubiri akistafu ndio aandike kitabu cha kujiliza haifai.
Mungu ibariki TanzaniaLeo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"
Amenukuu Maneno yaliyopo kwenye Kitabu cha "My Life, My Purpose" cha Hayati Benjamin Mkapa alipojutia mambo mbalimbali ya Ovyo aliyoyafanya wakati wa Utawala wake ikiwemo kashfa maarufu ya EPA "Wahuni walitumia uaminifu wangu kwa chama kunishawishi nikubali Ninajisikia kuwa nilitumika na kusalitiwa..."
"Kama Wahuni waliweza kumlaghai Rais Mkapa kuingia Mikataba ya ajabu basi hawawezi kushindwa kumlaghai Rais Samia kwamba Mkataba huu una tija"
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
Paroko kama parokoLeo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"
Amenukuu Maneno yaliyopo kwenye Kitabu cha "My Life, My Purpose" cha Hayati Benjamin Mkapa alipojutia mambo mbalimbali ya Ovyo aliyoyafanya wakati wa Utawala wake ikiwemo kashfa maarufu ya EPA "Wahuni walitumia uaminifu wangu kwa chama kunishawishi nikubali Ninajisikia kuwa nilitumika na kusalitiwa..."
"Kama Wahuni waliweza kumlaghai Rais Mkapa kuingia Mikataba ya ajabu basi hawawezi kushindwa kumlaghai Rais Samia kwamba Mkataba huu una tija"
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
Sijashawishika kuwabaguaKwenye hili masheikh waondoe
Alafu watajitokeza watu waseme , "asisemwe"Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"