PAROKO: Tusikae kimya sasa kusubiri Miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Baba Paroko.
 
Paroko kama paroko
 
Umeona mbali sana.

Wakati huo Maji yanakuwa yameshamwagika hayataweza kuzolewa [emoji24]
 
Kwenye hili masheikh waondoe
Sijashawishika kuwabagua
Kila mwenye kumtaja Mungu kwa nia njema basi huyp anapokea thawabu iliyo njema.

Masheikh ni sehemu ya viongozi wa kiimani. Sijawahi kuona wala kusikia sheikh nchini akisema wala kuwahamasisha waumini wa Islam kujitwalia haki ya kuishi zaidi ya wengine (mwenye akili na afahamu).

Hakuna mwanadamu bora kuliko mwingine. Haki yako inapaswa kutambua haki za wengine.

Mimi ni mkristo, yes ni mwanafunzi wa Yesu. Bila wenye dhambi hakuna maana ya injili.

Wabarikiwe viongozi wote wa imani. Ni Mungu pekee anayejua walio wake
 
Alafu watajitokeza watu waseme , "asisemwe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…