Part 2: Ukikaribia Miaka 40 Utagundua Vingi mojawapo ni kuwa Zawadi kubwa Zaidi ni kujaaliwa Akili na kuijaza maarifa sahihi

Mi naamini tunafanya Kwa kasi yetu japo Kuna uboreshaji wahitajika ndo maana unaona hata mtaala wizara ya elimu unaurekebisha.

Nimeleta mada kama challenge pale timu moja inapojipima na nyingine
Ukiachana na KULINDA MADARAKA nchi yetu haina DIRA.

DIRA tulizonazo Ni zile tulizolazimishwa kuweka na Mashirika ya kimataifa kama UN, IMF, WB kama SDGs, Millennial goals.

Na hata hayo malengo, ynafanywa fanywa juu juu ili kuwarishiaha wafadhili waendelee kutoa pesa.

Ndio maana Data za Tanzania 90% Ni za KUPIKA.
 
Alikuwa na vision ila vision yake ilikuwa mbaya na mbovu sanaaa

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa na vision ila vision yake ilikuwa mbaya na mbovu sanaaa

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mwisho wa siku miaka ya 60 karibia kila nchi ilikuwa kwenye TRIAL and ERRORS.

Nchi zilikuwa CHANGA kabisa tens bila Raslimali watu wala chochote.

Binafsi sijawahi kuona kama kuna cha kulaumu.

Ni Sawa na kuwa na option A na B hakafu MTU akachagua B ukamlaumu wakati hata A yawezekana INA matattizo makubwa au pia haikiwahi kuinesha mafanikio.
 
Umenikumbusha baniyas square....ndio ilikuwa garden yetu wabongo.....Deira pana amsha amsha sn aiseeee...
 
Tom Cruise alienda kwenye huo mnara kurecord movie yake ya Mission Impossible akawa ananing'inia kwa kamba real stunt. Na juzi nimemuona Will Smith ameenda vacation hukohuko.
Kwa rasilimali tulizonazo Tanzania kama tukiweza kupata kiongozi mwenye akili na malengo atakayeweza kutengeneza mifumo imara itakayoweza kufaidisha wananchi na taifa zaidi huku simultaneously ikiplay fair kwa wawekezaji basi nasi tutafika hukohuko.

Inavyoonyesha nchi inahitaji wanauchumi na hicho ndicho ninachokisoma sasa hivi.
 
yupo mchumi mbobezi mwigulu mchemba.
 
Noma sana!
 
Noma sana!
 
Mkuu umenifanya nifikiri nje ya box, thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…