Part one: Swali kwa wanaume tu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Tunataka kupima IQ zenu wanaume.

Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.

Swali la kwanza;

Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
 
mkuu twende kwenye mada bna mi cheni sijaanza kuvaa leo nimevalishwa toka nipo mdogo .si unajua zinasaidia kutoa shepuu?
tuache malumbano wewe jibu swali
 
Mostly chen ya kiunon ni nyembaba na pia ina ukubwa fulan ambao kwa shingon lazma izunguke mara mbili
 
Nitagundua baada ya kuona kiunoni hakuna cheni, pia naweza jua kwa kuangalia size ya cheni na idadi yake za shingoni
Mwisho ondoa mambo ya ku assume kwani kipindi tulichonacho tu tuliassume vipi magu akiwa Rais sasa hali halisi wote tunaiona sasa habari za kuassume assume hayo ipo siku utatuambia tuassume mke wangu kaja home na chupi used lakini ya kiume sasa hayo mambo si ya kuassume
 
Mostly chen ya kiunon ni nyembaba na pia ina ukubwa fulan ambao kwa shingon lazma izunguke mara mbili
jibu swali utaelewa au hutaelewa?
 

Tuma picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…