Part one: Swali kwa wanaume tu

Kifungo cha cheni ya shingoni ni tofauti na kile cha cheni ya kiunoni. Kuhusu mzunguko ni vigumu kutambua hilo.
 
kifupi ni kuwa yakiunoni ni kubwa kuliko yashingoni au yamkononi
 
Suwezi hata kuasurme sbb sijawai kuwa wala kukutana na mwanamke mwenye cheni kiunoni
 
Swali lako linauliza NI WANGAPI NA WALA SIO UTAJUAJE KAMA NI CHENI YA KIUNONI AU SIO.
kwa maana hiyo jibu lazima liwe ni namba flani au mjumuisho wa kundi flani kama wote,kwa sababu neno wangapi lenyewe limeshonyesha kuwa jibu linalotakiwa lazima liwe kwenye mfumo wa uwingi kwa idadi lazima ianze mbili.
Kama muuliza swali ungetaka jibu la mtu mmoja mmoja basi ungeuliza ni NANI na si WANGAPI.
Sasa kwa upande wangu najibu kwa kutumia neno WANGAPI.
umeuliza ni wangapi.Kwa mantiki hii ni kwamba unataka uambiwe kati ya watu watakaochangia mada hii ni wangapi watajua? Na kama swali lako lilikuwa hivyo basi hakuna uwezekano wa kupata jibu la moja kwa moja kwani uwezi kumsemea mtu mwingine kama atajua au la,au labda wachangiaji wote watoe majibu na kuwe na muda maalumu wa kutoa majibu hayo ili apatikane mtu ambaye atahesabu idadi ya watu ambao watasema kuwa wanaweza kujua na mwisho akupe wewe idadi ya watu hao.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna tofauti kati ya mkufu na cheni?
Naomba jibu ili nikukokotolee swali lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…