yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
hujaelewa nini?
Cheni ya kiuno na shingoni Tuma Picha kama zinafanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujaelewa nini?
Nitumie picha kwa email yangu nitakayokupa inbox ili nithibitishe basiahaaaa haki ya mungu naapa ninazo siku nyiiingi sana
Nikipata chini ya 70 out of 100. Usinianike nionekane bashite mimiasante kwa jibu lako narekodi hapa
ya kiunoni itakuwa na round mbili
zawadi ni nini kwanza??
Sio ukubwa bali urefu, sawa mdogo wangu!!Mostly chen ya kiunon ni nyembaba na pia ina ukubwa fulan ambao kwa shingon lazma izunguke mara mbili
usinichoshe kama unajua jibu liandike tukwani mkufu hauwezi kuwa na raundi mbili mkuu?
Sweet mume[emoji8] [emoji8] [emoji8]usinichoshe kama unajua jibu liandike tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hilo ni swali gani?
Au unataka tujue kwamba siku hizi unavaa cheni kiunoni badala ya shanga.
Unanikumbusha zamani nikiwa shuleni visichana vikicheza mchezo wao wa rede vinafunua sketi zao tuone kama vina chupi mpya vikiwa na zilizotoboka wala haviruki sarakasi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitagundua baada ya kuona kiunoni hakuna cheni, pia naweza jua kwa kuangalia size ya cheni na idadi yake za shingoni
Mwisho ondoa mambo ya ku assume kwani kipindi tulichonacho tu tulia ssume vipi magu akiwa rahis sasa hali halisi wote tunaiona sasa habari za kuassume hizo ipo siku utatuambia tuassume mke wangu kaja home na chupi used lakini ya kiume sasa hayo mambo si ya kuassume
Kuna tofauti kati ya mkufu na cheni?Tunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
Sio ukubwa bali urefu, sawa mdogo wangu!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kungwi!!!?Nmemaanusha hicho hcho asante kungwi
Si Ndio cheo chako nasikia baada ya kustaafu[emoji15] [emoji15] [emoji15] kungwi!!!?