Part time Relation, is it proper?

Part time Relation, is it proper?

GAGL

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
392
Reaction score
400
Jamani naomba kuuliza, hivi kwa mfano umekutana na mtu then mkawa wapenzi ila wewe huna nia ya kuwa nae maishani, je ni makosa kumwambia kuwa hauko tayari kuwa nae maishani ila unapenda awe rafiki wa mida tu?
 
Well ni bora kumwambia ili aamue kama anakubaliana na mpango huo au la badala ya kumpotezea mwenzako muda akidhani mtafika mbali kumbe wala!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sijui umejua lini kwamba huna mpango wa kuwa nae maishani, kama ulilijua kabla ya kuwa wapenzi na ukakubali kuwa mpenzi wake hilo ni kosa.....kama umejua ukiwa nae tayari kuwa hutaki kuwa nae maishani thats fair....mwambie tu sasa asuke au anyoe....tumia busara,inaumiza sana sana!:washing:
 
Lizzy upoo?
Mumeo hapa....

Hahahaha...nimejizuia kucheka kutwa ila sasa hivi imebidi!Sasa mbona mume anachakachua thread ya watu bila kutoa mchango?Njoo unipe kile ki tu basi!
 
sio vzuri utamwathili mwenzako kisaikolojia, afadhali ukatae kabisa relationship.
 
Sijui umejua lini kwamba huna mpango wa kuwa nae maishani, kama ulilijua kabla ya kuwa wapenzi na ukakubali kuwa mpenzi wake hilo ni kosa.....kama umejua ukiwa nae tayari kuwa hutaki kuwa nae maishani thats fair....mwambie tu sasa asuke au anyoe....tumia busara,inaumiza sana sana!:washing:

Michelle; ulipotea sana, niliku miss hapa jamvini.. Bac to topic, anatakiwa akushukuru sana kwa kumwambia ukweli kuliko kumtosa kimya kimya
 
Mpime mtu mwenyewe je ni wa style hiyo ya part time, kama sio muache dada/kaka wa watu, kama unaona na yy amekaa kiivo basi mweleze mapema, achague.
 
Ni bora kumwambia mtu ukweli ili ajue anasimamia wapi... Ila ukimpenda mwambie pia..
 
Actually I think is one of the best thing ever...
ilimradi muelewane tangu mwanzo.....
Mambo yakukabana hamna ...
 
Actually I think is one of the best thing ever...
ilimradi muelewane tangu mwanzo.....
Mambo yakukabana hamna ...

Embu kalale we mwanamke! Alafu na mimi ngoja nitafute mtu wa hivi kuondoa stress zisizo za lazima!
 
muambie kuwa una mtu kwanza,akikubali kuwa na ww na ikaja cku ukapendezewa naye,bac cku muambie kuwa umemuacha huyo demu mwengine na unamtaka yeye jumla
 
Embu kalale we mwanamke! Alafu na mimi ngoja nitafute mtu wa hivi kuondoa stress zisizo za lazima!

Hahahahahahahah
Leo hakuna kulala mpenzi
..
Unaenda wapi kutafuta na yule nikiwa
kudokezea.. usiniangushe hahahah lol..
 
Hahahahahahahah
Leo hakuna kulala mpenzi
..
Unaenda wapi kutafuta na yule nikiwa
kudokezea.. usiniangushe hahahah lol..

Hehehe dearest unataka adhani nna ngoma nnavyokohoa?Nataka nimuweke line kwanza!
 
Hehehe dearest unataka adhani nna ngoma nnavyokohoa?Nataka nimuweke line kwanza!

hahahah lol kuna unono
nataka kukudokeza kutoka home
hahahah ya yule ndugu yetu
hembu ingia skype haraka ...
 
hahahah lol kuna unono
nataka kukudokeza kutoka home
hahahah ya yule ndugu yetu
hembu ingia skype haraka ...
Embu niemail fasta dearest...au txt charge ya LP imeharibika so napatikana via mobile tu!
 
The Truth will set you free. Hapo suala la muhimu ni maelewano. Kuna mdada niliwahi kumtokea, akanambia tunaweza kuwa wapenzi lakini si maishani, nilifurahi alivyoniambia vile mana hatutaka kunipotezea muda.

Hivyo kaka, kama huna mpango nae mwambie achague yeye!
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kwa mfano umekutana na mtu then mkawa wapenzi ila wewe huna nia ya kuwa nae maishani, je ni makosa kumwambia kuwa hauko tayari kuwa nae maishani ila unapenda awe rafiki wa mida tu?

ichi ndcho kinachofanyika
watu weng wapo na wapenz wao kwa style i ...ILA TU HAWASEMI
its so alive.
 
Well ni bora kumwambia ili aamue kama anakubaliana na mpango huo au la badala ya kumpotezea mwenzako muda akidhani mtafika mbali kumbe wala!
Nakubaliana na Lizzy,
Utakuwa umetumia busara sana kumwambia,
hii itamsaidia kufanya uamuzi wa kubaki kwenye huo uhusiano au kuondoka.
 
Back
Top Bottom