Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy upoo?
Mumeo hapa....
Sijui umejua lini kwamba huna mpango wa kuwa nae maishani, kama ulilijua kabla ya kuwa wapenzi na ukakubali kuwa mpenzi wake hilo ni kosa.....kama umejua ukiwa nae tayari kuwa hutaki kuwa nae maishani thats fair....mwambie tu sasa asuke au anyoe....tumia busara,inaumiza sana sana!:washing:
Actually I think is one of the best thing ever...
ilimradi muelewane tangu mwanzo.....
Mambo yakukabana hamna ...
Embu kalale we mwanamke! Alafu na mimi ngoja nitafute mtu wa hivi kuondoa stress zisizo za lazima!
Hahahahahahahah
Leo hakuna kulala mpenzi
..
Unaenda wapi kutafuta na yule nikiwa
kudokezea.. usiniangushe hahahah lol..
Hehehe dearest unataka adhani nna ngoma nnavyokohoa?Nataka nimuweke line kwanza!
Embu niemail fasta dearest...au txt charge ya LP imeharibika so napatikana via mobile tu!hahahah lol kuna unono
nataka kukudokeza kutoka home
hahahah ya yule ndugu yetu
hembu ingia skype haraka ...
Jamani naomba kuuliza, hivi kwa mfano umekutana na mtu then mkawa wapenzi ila wewe huna nia ya kuwa nae maishani, je ni makosa kumwambia kuwa hauko tayari kuwa nae maishani ila unapenda awe rafiki wa mida tu?
Nakubaliana na Lizzy,Well ni bora kumwambia ili aamue kama anakubaliana na mpango huo au la badala ya kumpotezea mwenzako muda akidhani mtafika mbali kumbe wala!