Pasaka hii Ina uhusiano na ujenzi wa nchi ya Kidemokrasia ya Tanzania

Pasaka hii Ina uhusiano na ujenzi wa nchi ya Kidemokrasia ya Tanzania

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
380
Reaction score
534
Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru.
Tundu Lisu na wanaharakati wengine wanaopigania demokrasia ya nchi hii waachwe wawe huru kufanya kazi zao Ili kuwa Taifa lililo huru na lenye baraka za Mungu.
Nawatakia Pasaka njema. Yesu Kristo amefufuka! Amefufuka kweli kweli!
 
Back
Top Bottom