Dunia sasa hivi ni kijiji. Yanayotendeka kona mbalimbali za dunia, yanafahamika kila mahali ndani ya sekunde chache tu.Hiyo sherehe nzito umeionea online? Au umehadithiwa?
Utakuta mtoa mada hata boda hajawahi vuka, akienda mbali sana jua yupo TUNDUMAMarekani Krismasi ni kubwa kuliko Pasaka.
Soma title kwa utulivu, zerominus10Nmemshangaa huyu mwenzetu Setfree yupo marekani ya wapi kwa Mtogole?
Ni matukio gani yanatofautisha krismasi na pasaka hadi uone krismasi ni kubwa kuliko pasaka huko us mkuu?Marekani Krismasi ni kubwa kuliko Pasaka.
Ukiwa uko Marekani msimu wa Krismasi huwezi kuuepuka.Nmemshangaa huyu mwenzetu Setfree yupo marekani ya wapi kwa Mtogole?
My friend Nyani Ngabu soma title kwa utulivu.Marekani Krismasi ni kubwa kuliko Pasaka.
Rais Trump ameliona hilo. Ndio sababu anataka kurudisha hadhi na heshima ya Pasaka. I presume hiyo Easter dinner TV zote kubwa wataonyesha.Ukiwa uko Marekani msimu wa Krismasi huwezi kuuepuka.
Pasaka kama wewe si muumini yaweza kuja na kupita bila hata kujua!
Wewe nguvu yako ni majivuno?Utakuta mtoa mada hata boda hajawahi vuka, akienda mbali sana jua yupo TUNDUMA
Gal 3:1Wewe nguvu yako ni majivuno?
Mimi sina tabia ya kupiga tarumbeta nikivuka boda. Majivuno niliyatupa shimoni baada ya kuokoka.
Methali 16:18
"Kiburi hutangulia maanguko, na roho ya kujivuna hutangulia kushushwa."
Luka 18:14
"Kwa maana kila ajikwezaye atashushwa; naye ajishushaye atakwezwa."
Kabla sijakujibu, naomba nikuulize:Ni matukio gani yanatofautisha krismasi na pasaka hadi uone krismasi ni kubwa kuliko pasaka huko us mkuu?
Huo ni mtazamo wao, haukulazimishi nawe kuiona kuwa sikukuu kubwaWiki hii kote ulimwenguni Wakristo watasherehekea Pasaka. Pasaka ni sikukuu kubwa kwa Wakristo kwa sababu ni siku ya kuadhimisha tukio muhimu sana katika imani ya Kikristo — kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu. Bila Pasaka, hakuna Ukristo. Ndiyo sababu Wakristo huiona Pasaka kuwa ni siku kuu ya kipekee kuliko Krismasi.
Nchini Marekani, wiki hii inatambulika kuwa ni Wiki Takatifu(Holy Week). Mwaka jana Rais Mstaafu, Joe Biden aliiadhimisha wiki ya Pasaka kwa kutoa tangazo la kuwatambua watu waliobadili jinsia!! Rais Trump amepindua uchafu huo na kuipa heshima wiki hii kwa kuandaa matukio makubwa ya kuadhimisha Pasaka.
Wiki hii, Jumatano jioni, wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani watakuwa na "Dinner" nzito ya Pasaka. Alhamisi itakuwa siku ya maombi na kumwabudu Mungu kwa wafanyakazi wote wa Ikulu ya Marekani. Siku hiyo wafanyakazi hao watapata pia nafasi ya kusikiliza Neno la Mungu kutoka kwa Wahubiri mbalimbali.
Jumapili iliyopita, Rais Trump aliahidi kuilinda imani ya Kikristo mashuleni, katika Jeshi na katika maeneo yote ya kazi. Alisisitiza pia kwamba ataendelea kulinda uhuru wa kuabudu katika nchi hiyo.
Rais Trump haoni aibu kumtangaza Yesu na yuko tayari kuujulisha ulimwengu wote kuhusu imani yake.
Baada ya kuanza muhula wake wa pili, Rais Trump alianzisha "White House Faith Office" kupitia agizo la kiutendaji tarehe 7 Februari 2025, akiwa na lengo la kuyasaidia mashirika ya kidini na ya kijamii katika juhudi za kuimarisha familia za Marekani na kulinda uhuru wa kidini. Ofisi hii ndiyo inayoandaa sherehe kubwa za Pasaka, Ikulu ya Marekani, mwaka huu.
Wewe je, umeandaa nini kusherehekea Pasaka? Karibu nyumbani kwetu ule vinono!
Grace and peace to you this Easter season. God bless you abundantly.
Kama huna jibu kaa kimya.Kabla sijakujibu, naomba nikuulize:
1] Umeshawahi kufika Marekani?
2] Kama umewahi kufika, ulikaa kwa muda gani?