Opot opot4
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 108
- 130
Sasa kufa na kufufuka kwa yesu ndo pasaka?mbona warumi 6:4 hapana pasaka?ebu chungulia kutoka 12 yote uone pasaka maana naona biblia unayo mkuuYesu asingefufuka, kifo chake msalabani kingekuwa tukio la huzuni tu. Lakini sasa Pasaka inaifanya Injili kuwa habari njema ya kweli.
Wakristo huamini kwamba kwa kufufuka kwa Kristo, wao pia wamefufuliwa kiroho kutoka katika kifo cha dhambi. Pasaka ni ukumbusho wa kuzaliwa upya, na mwanzo wa maisha mapya katika Kristo (Warumi 6:4).
Nakutakia heri ya Pasaka na baraka za Mungu ziwe juu yako!
Dhambi zimezidi duniani na Yesu yuaja upesi. Acha Injili ihubiriwe kila mahali. Watakaojali wataokoka. Wasiojali hawatakuwa na la kujitetea siku ya hukumu.Itakuwa wewe ni mmojawapo ya wale wanaotembea na spika barabarani na kuanza kushusha neno, au wewe unakuwaga kwenye mabasi?
Unajifunza uongouongo au ni gwiji kweli?Samualeko!Marekani pasaka wala sio public holiday, kazi kama kawa! Hiyo sherehe nzito umeionea online? Au umehadithiwa?
Achana na kiongo hicho.Unapoteza muda.Pasaka huwa ni Jumapili, ambayo generally huwa sio siku ya kazi. Ila kama serikali ya Marekani huwa inafanya kazi siku za jumapili basi upo sahihi, Pasaka sio public holiday, japo huwa naona pale ubalozini kwao huwa hawafanyi kazi siku za Jumapili
Ili unisaidie/inisaidie nini? Wabongo bana!Unajifunza uongouongo au ni gwiji kweli?Samualeko!
🙏Grace and peace to you this Easter season. God bless you abundantly.
Yaani umeamua tu kuandika kwamba pasaka ni nothing USA?Jitafakari maalim.Ili unisaidie/inisaidie nini? Wabongo bana!
Suala jepesi sana nimesema pasaka sio Federal holiday! Ukitaka chukua usipotaka acha, tuendelee na menginePasaka huwa ni Jumapili, ambayo generally huwa sio siku ya kazi. Ila kama serikali ya Marekani huwa inafanya kazi siku za jumapili basi upo sahihi, Pasaka sio public holiday, japo huwa naona pale ubalozini kwao huwa hawafanyi kazi siku za Jumapili
Yaani umeamua tu kuandika kwamba pasaka ni nothing USA?Jitafakari maalim.
Sijataka ,nimeacha tuendelee na mengi -ne.Hadi wawe na slogan ya "GOD BLESS AMERICA/USA" halafu wewe Kajabwela utuletee ndoto zako za urujuani?Suala jepesi sana nimesema pasaka sio Federal holiday! Ukitaka chukua usipotaka acha, tuendelee na mengine
Sawa ✌️Sijataka ,nimeacha tuendelee na mengi -ne.Hadi wawe na slogan ya "GOD BLESS AMERICA/USA" halafu wewe Kajabwela utuletee ndoto zako za urujuani?
Hivi mkuu kwanini angekuwa kweli na nguvu kama mnavyohubiri alitumia njia hii ya kuteswa sana na viumbe wadhaifu wa kibinadamu...maana kiukweli sio tu inaudhalilisha "ukuu" wake Bali pia inawatia unyonge wanaomwita Mungu wao...maana Kuna njia nyingi za kuwakomboa wanaadamu...Yesu asingefufuka, kifo chake msalabani kingekuwa tukio la huzuni tu. Lakini sasa Pasaka inaifanya Injili kuwa habari njema ya kweli.
Wakristo huamini kwamba kwa kufufuka kwa Kristo, wao pia wamefufuliwa kiroho kutoka katika kifo cha dhambi. Pasaka ni ukumbusho wa kuzaliwa upya, na mwanzo wa maisha mapya katika Kristo (Warumi 6:4).
Nakutakia heri ya Pasaka na baraka za Mungu ziwe juu yako!
Hukumu ipi tena? Jamaa si alisurubiwa kutokana na dhambi zetu?Dhambi zimezidi duniani na Yesu yuaja upesi. Acha Injili ihubiriwe kila mahali. Watakaojali wataokoka. Wasiojali hawatakuwa na la kujitetea siku ya hukumu.
Kusema kwamba Pasaka sio sikukuu muhimu kwa sababu sio Federal Holiday nchini Marekani ni kuchanganya kati ya umuhimu wa Kikristo na uamuzi wa serikali.pasaka sio Federal holiday!
Kusema kwamba Pasaka sio sikukuu muhimu kwa sababu sio Federal Holiday nchini Marekani ni kuchanganya kati ya umuhimu wa Kikristo na uamuzi wa serikali.
Pasaka ni mojawapo ya sikukuu muhimu zaidi kwa Wakristo duniani kote, kwa sababu inaadhimisha kufufuka kwa Yesu Kristo – msingi wa imani ya Kikristo.
Kutoitwa Federal Holiday hakupunguzi thamani ya kiroho wala athari yake kwa maisha ya waumini. Ukiacha Pasaka, kuna siku nyingine muhimu kiroho ambazo serikali ya US haijazipa hadhi ya likizo ya kitaifa.
Kwa mfano, Jumapili yenyewe ni siku muhimu ya ibada kwa Wakristo, lakini sio Federal Holiday.
Vivyo hivyo, siku ya Pentekoste sio Federal Holiday, lakini ni siku muhimu sana kwa Wakristo kwa sababu ni siku ambayo Roho Mtakatifu alishuka juu ya wanafunzi, na Kanisa likazaliwa (Matendo 2). Bila Pentekoste, hakuna ujasiri wa kuhubiri injili wala nguvu ya kushuhudia.
No hakuna kitu km hichoRipoti zinasema na yenyewe inategemea mwezi
mkuu umefatilia au unakataa tuNo hakuna kitu km hicho