Pasaka unailia kiwanja gani?

Pasaka unailia kiwanja gani?

Kashasahau [emoji38] uzuri majibu yako huwa hayakeri unamjibu mtu kulingana na alichokiandika hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampa mtu kile anachopenda kuona na kusikia kutoka kwangu, ili akafurahi na nafsi yakee.

Mbona mie sio shida zangu kabisaa, maisha mafupi haya, afu tunaishi mara 1 tyuuh.

Au wee unasemajee?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama mchungaji nakukubali sana, natamani sana unipe muda wako tupate lunch au dinner pamoja. Ikishindikana kabisa hata coffee date sio mbaya. Please let me know kama thats not much of me asking.
Asante mkuu, tatizo huyu shemeji yako ananikagua Kila ninapoenda...

Mawivu mengii...
 
Back
Top Bottom