Pasaka unailia kiwanja gani?

Pasaka unailia kiwanja gani?

😂😂 Chelsea hao siku hizi hata hawanibabaishi. Liva sjui walinifanya nini, siwakubali siku hizi.

Mema nawaombea Man city. Forever Blue, ni dark/ light cha muhimu ni Blue.
Haha na msimu huu utakuwa mzuri kwetu kama tukiendelea hivi kwa mechi zote zilizobaki, hao ndugu zako acha wagombee Nafasi ya pili na arsenal, haiwezekani simba inipee stress na liverpool nayo aahh 🤣🤣
 
Shangazi hadi na kwenye mpira upo..?
 
Back
Top Bottom