apart from jamiiforum , i dont usually use any social network . incase i go with it its for the purpose of keeping beautiful memories, the only terrific things we carry with us when we die, if we are luck enough.Kama utaenda na 'camera' ni ubatili mtupu.
Hawana uhitajiAnza kwa ukoo wako kwanza
I wish I could participate in this attribute but sadly due to my current financial status I won't be able to make it. Please help me out sirhahaha mkuu nakukaribisha siku ya kesho tukatoe swadaka sote kwa pamoja
sio kwa ubaya, probably kuja na wazo langu hapa forum was a bad ideaHuna haja ya kututangazia. Kwani mkono wa kulia unapotoa, mkono wa kushoto usijue.
sio kwa ubaya, probably kuja na wazo langu hapa forum was a bad idea
but i have a question , watu wenye uhitaji especially orphanage centers nazipataje kama si kwa kuuliza katika network mbalimbali ikiwemo jamii forum, you may not know but your words might be an obstacle to someone else blessing choose them wisely.
👍👍👍Umra tar 3 April madogo wa Muhimbili watakua hapoKuna hizi
1. Mwandaliwa Children Centre Mbweni - 0718 069 794
2. Umra orpganage Centre - magomeni
+255 656 368 773 or +255 659 145 214
3. Glory Orphanage Kigamboni - +255620455069
Kama upo Dar nunua msosi au pika nyumbani weka kwenye vipakt kawagawie watoto wa barabarani pale Mwengekama kuna events yoyote imekua organized kwa siku ya kesho kile kidogo nilicho jaliwa nataka kusherekea na wahitaji , kindly may i be recommended with any orphanage center , or any events zinazohusisha wahitaji kindly pm me ill much appreciate it. location dar es salaam.
thanks in advance
you are a really wonderful person, i really appreciate what youve just done. have a very heart stopping moment in whatever you do. thank you.Kuna hizi
1. Mwandaliwa Children Centre Mbweni - 0718 069 794
2. Umra orpganage Centre - magomeni
+255 656 368 773 or +255 659 145 214
3. Glory Orphanage Kigamboni - +255620455069