kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,394
- 16,128
ALIYELETA DP WORLD ATUPISHE,ALIYEUA WATU 100000 OCTOBER ATUPISHE
Ona hilo tikitikiMngejua ukweli mngeshagaa na kuwadharau hao wajumbe wa Kamati kuu kama 6 hivi.
Haha haha Kete ya Mangi imasukumbwa kwa kasi.
Godbless kawa Kituko sana.
Ni kweli Kuna mitonyo mgao ulienda fyongo.
Sugu ( Mzee wa Fursa kafura) Rasta nae anasukuma kete
Haya mambo yanahitaji mtu smart sana kuyafanikisha. Angalia jinsi mapandikizi wanavyojianika wenyewe one by one!Katibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na kufukuza wanachama wanaokosoa ubadhirifu wa fedha, huku akitangaza kuwa vijana wa mkoa huo wanaandaa maandamano yasiyo na kikomo shinikizo la kumtaka ajiuzulu.
"Kwanza ukiuliza tu swali la ubadhirifu unaoendelea ndani ya chama, wewe hapo ni kufukuzwa. Sasa sisi kama vijana tunajiorganize, tunataka tuandae maandamano makubwa sana hapa mkoa wa Katavi na tunamwambia... tunaandika barua kwa OCD atupe tutandamana, asipotupa tutandamana kwa sababu huu ujumbe inatakiwa Watanzania wajue nini kinachoendelea ndani ya chama.
Sisi hatujanunuliwa ajili ya kumchafua Heche. Sisi tuko kwenye chama muda mrefu, tungenunuliwa muda mrefu. Ndio maana tumesema sisi, ina maana maandamano yetu kwanza yatakuwa sio ya kikomo mpaka atoke. Kwa sababu sisi Watanzania wanatakiwa wajue kwamba yule ni tatizo."
Hii mishe isha haribika kabisa wanao endelea nayo wanajichoresha tuKatibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na kufukuza wanachama wanaokosoa ubadhirifu wa fedha, huku akitangaza kuwa vijana wa mkoa huo wanaandaa maandamano yasiyo na kikomo shinikizo la kumtaka ajiuzulu.
"Kwanza ukiuliza tu swali la ubadhirifu unaoendelea ndani ya chama, wewe hapo ni kufukuzwa. Sasa sisi kama vijana tunajiorganize, tunataka tuandae maandamano makubwa sana hapa mkoa wa Katavi na tunamwambia... tunaandika barua kwa OCD atupe tutandamana, asipotupa tutandamana kwa sababu huu ujumbe inatakiwa Watanzania wajue nini kinachoendelea ndani ya chama.
Sisi hatujanunuliwa ajili ya kumchafua Heche. Sisi tuko kwenye chama muda mrefu, tungenunuliwa muda mrefu. Ndio maana tumesema sisi, ina maana maandamano yetu kwanza yatakuwa sio ya kikomo mpaka atoke. Kwa sababu sisi Watanzania wanatakiwa wajue kwamba yule ni tatizo."
Siku ya maandamano yao ndiyo siku ya maandamano ya kudai katiba mpya waweke tu vizuri record zaoMtu akishasema tutaandamana na waliohisiwa kupanga maandamano wana kesi ya ugaidi ujue tu ni project
***** limeshalamba hela ya AbduliKatibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na kufukuza wanachama wanaokosoa ubadhirifu wa fedha, huku akitangaza kuwa vijana wa mkoa huo wanaandaa maandamano yasiyo na kikomo shinikizo la kumtaka ajiuzulu.
"Kwanza ukiuliza tu swali la ubadhirifu unaoendelea ndani ya chama, wewe hapo ni kufukuzwa. Sasa sisi kama vijana tunajiorganize, tunataka tuandae maandamano makubwa sana hapa mkoa wa Katavi na tunamwambia... tunaandika barua kwa OCD atupe tutandamana, asipotupa tutandamana kwa sababu huu ujumbe inatakiwa Watanzania wajue nini kinachoendelea ndani ya chama.
Sisi hatujanunuliwa ajili ya kumchafua Heche. Sisi tuko kwenye chama muda mrefu, tungenunuliwa muda mrefu. Ndio maana tumesema sisi, ina maana maandamano yetu kwanza yatakuwa sio ya kikomo mpaka atoke. Kwa sababu sisi Watanzania wanatakiwa wajue kwamba yule ni tatizo."
Katibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na kufukuza wanachama wanaokosoa ubadhirifu wa fedha, huku akitangaza kuwa vijana wa mkoa huo wanaandaa maandamano yasiyo na kikomo shinikizo la kumtaka ajiuzulu.
"Kwanza ukiuliza tu swali la ubadhirifu unaoendelea ndani ya chama, wewe hapo ni kufukuzwa. Sasa sisi kama vijana tunajiorganize, tunataka tuandae maandamano makubwa sana hapa mkoa wa Katavi na tunamwambia... tunaandika barua kwa OCD atupe tutandamana, asipotupa tutandamana kwa sababu huu ujumbe inatakiwa Watanzania wajue nini kinachoendelea ndani ya chama.
Sisi hatujanunuliwa ajili ya kumchafua Heche. Sisi tuko kwenye chama muda mrefu, tungenunuliwa muda mrefu. Ndio maana tumesema sisi, ina maana maandamano yetu kwanza yatakuwa sio ya kikomo mpaka atoke. Kwa sababu sisi Watanzania wanatakiwa wajue kwamba yule ni tatizo."
Huu upuzi, pesa muhongwe nyinyi halafu mnataka watu muingize barabarani wakungeni mkono nyinyiKatibu Mwenezi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, Pascal Anthony, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kukiingiza chama hicho kwenye mpasuko mkubwa, kukataa maridhiano, na kufukuza wanachama wanaokosoa ubadhirifu wa fedha, huku akitangaza kuwa vijana wa mkoa huo wanaandaa maandamano yasiyo na kikomo shinikizo la kumtaka ajiuzulu.