Pascal Anthony: Heche ameleta Mpasuko ndani ya chama, tunajiandaa kufanya maandamano bila kikomo mpaka ajiuzulu

Si waliambiwa wapeleke Malalamiko kwenye chama. Ila njaa mbaya sana.
 
Ona hilo tikitiki
 
Siku ya maandamano yao na sisi tuna andamana kudai katiba mpya
 
Haya mambo yanahitaji mtu smart sana kuyafanikisha. Angalia jinsi mapandikizi wanavyojianika wenyewe one by one!
 
Hii mishe isha haribika kabisa wanao endelea nayo wanajichoresha tu
 
Mtu akishasema tutaandamana na waliohisiwa kupanga maandamano wana kesi ya ugaidi ujue tu ni project
Siku ya maandamano yao ndiyo siku ya maandamano ya kudai katiba mpya waweke tu vizuri record zao
 
***** limeshalamba hela ya Abduli
View attachment 3637292
 
Sijasikiliza Maneno yao lakini naamini ni Maneno ya Vijana wapumbavu na ni aina ya vijana ambao Miasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere alikataa aina hiyi ya vijana.
 
Andamaneni chap siku hiyo kimambi na wahuni wake naye atakuwa road akitekeleza wajib wake
 
Huu upuzi, pesa muhongwe nyinyi halafu mnataka watu muingize barabarani wakungeni mkono nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…