Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili

Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili

Tatizo Tanzania kwa sababu ya uchawa na ufia vyama, mijadala kama hii ni haba kuipata kwenye national TV...
 
Kiukweli nikisoma mada zake huwa namwelewa vizuri sana! Ukisoma mada zake bila kuelewa ana maanisha nini utasema ni chawa!
Kwa kifupi huwa anajua kubalance mizani! Yakuisifia Serikali anasifia,ya kuikosoa serikali anakosoa ila kwa uangalifu sana.
 
Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.

Huyu mara nyingi sana huongea ukweli.

Ila watu huwa wanachagua kipi cha kukubali na kipi chakumpinga pale anapoongea au kuandika yale wasiopenda kuyasikia.

Tujifunze kuheshimu mawazo ya watu na sio kumuattack pale anaposema lile tusilolipenda.
 
Ukifika miaka 60 huna Cha kupoteza ni Bora ukasimamia ukweli na haki,hongera Pascal,ni sibu kuwa babu wa ovyo
 
Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.

Sijasoma chochote kwenye bandiko la kipuuzi; ila najuwa sasa hivi kuna mafungu ya pesa yanagawiwa kwa ... kama wewe kufanya kazi unayofanya hapa.
Mkuu Kalamu, naheshimu sana mawazo yako na uhuru wako kusoma bandiko lolote, na kuliita vyovyote, kuwa ni bandiko la kipuuzi, na kumtukana tusi lolote mtoa mada, kitu usichokijua wewe ni kuwa una uwezo mdogo wa kiwango cha chini cha kusoma fasihi ya reading in between the lines kubaini the motive behind, hivyo kutosoma mada zangu ndio salama yako, kwasababu hata ungesoma, ungeishia kuambulia patupu!.

Angalia mada kama hii, halafu aibuke mtu kusema huyu Mwandishi ni mwandishi mala.. anayasaka mahela au analipwa!

Yeyote anayefikiri mimi nalipwa na yeyote kuandika ninayo yaandika, ni ....

p
 
kana tusi lolote mtoa mada, kitu usichokijua wewe ni kuwa una uwezo mdogo wa kiwango cha chini cha kusoma fasihi ya reading in between the lines kubaini the motive behind, hivyo kutosoma mada zangu ndio salama yako, kwasababu hata ungesoma, ungeishia kuambulia patupu!.
Hii ndiyo mbinu unayoitumia kujificha ukidhani watu hawawezi kuona kilicho upande wa pili. Huu ndio ubwege mkubwa unaokuhusu wewe.

Kiukweli sijutii kabisa kukuita jina lolote, kwa sababu sina shaka yoyote juu ya unachokifanya humu JF.

Kama nilivyosema huko juu, wewe ni malaya kwelikweli; lakini kwa bahati mbaya biashara yako inawaumiza waTanzania unapofanya umalaya wako na watu waovu kama hawa wanaokununua wakati huu.
 
Back
Top Bottom