Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuifanyia PNA hotuba ya rais Samia siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA ambayo yamekwenda sambamba na utoaji wa tuzo ya rais kwa mlipa kodi bora, ambayo ameitwa Mzee Saidi Salim Bakheresa
Viongozi wetu ni binadamu na sio malaika, they are only human, na binadamu wote ni sawa, na wanamahitaji sawa ya kibinadamu, kuja, kuishi na mwisho kwake kurejea.
Wote wana yale mahitaji ya kawaida ya binadamu, kuvuta hewa, kula, kunywa, shelter etc, binadamu wote wanastahili heshima kuheshimu utu wake, and a human beings, no one is perfect, hakuna mkamilifu, hivyo anaweza kukosea makosa ya kawaida ya kibinadamu.
Miongoni mwa mahitaji muhimu sana ya viumbe wote is to love and be loved, akifanya vema apongezwe as encouragement aendelee kufanya vema, na akifanya makosa, akosolewe kwa lugha ya staha, kistaarabu na kiungwana.
Mimi mwenzenu, huyu mtu, nilimnote siku nyingi kabla, kwanza mimi ndiye mtu wa kwanza kumtambulisha humu jf,
Kisha ni mimi nikaweka list ya high profile women wa Tanzania ambao ni presidential material, ni yeye alishika number 1!.
Ile mwaka 2017 nilimzungumzia Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na kumshauri yule Blaza wangu, ampishe huyu Mama awamu yake ya pili.
Hivyo baada ya kutokea kile kilichotokea, na yeye kuwa rais wa Tanzania by default, kwa kudra ya Mwenyezi Mungu, ni mimi tena nikawa loby Watanzania, PreGE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Hivyo nikawathibitishia kuwa Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
Baada ya kuwa rais kuna siku alisema mwenyewe, mkinizengua, tutazenguana!, hivyo hapo juzi kati kuna vijana wetu wakazengua, wakazenguliwa!. Nawaombeni vijana wetu, mistake kutuzengua tena!, msimtibue mkazenguliwa tena!.
Alianza vema, baada ya kuzenguliwa kuna wakati alikuwa kila akihutubia sisi wanahabari pia alitupa zetu kuwa waandishi wakimkuna, atawakuna vizuri, ila waandishi wapara, wakimpara, atawaparua!, mtu anayeparua ni yule mwenye makucha!, hivyo nikashauri Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.
Baada ya kuwa rais wa JMT, ile humbleness yake aliyokuwa nayo wakati akiwa VP, kama ilianza kutoweka toweka, nilimfanyia Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
But as times go by, she is changing for better, akifanya vema opongezwe as encouragement to encourage her to keep doing better and better, kuna wakati hotuba zake zilikuwa ndefu, lakini hotuba yake juzi pale Mlimani City kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya TRA, is one of the best ya hotuba zake!, it is short, less than 20 min, it's clear & concise!, Big Up Sana for this!
Nimeifanyia PNA
Sasa kwanza msikilize mwenyewe
View: https://youtu.be/KXN3XzMx69o?si=6zD9VjC1F5j2YyhL
Naanza na transcription
Kisha nakuja kwenye PNA yangu kwanini hotuba hii ni one of the best!.
Kwa vile amezungumza mambo mengi, kwenye PNA yangu, nitachagua machache na kukuwekea
RSSH = Rais Samia Suluhu Hassan
PNA = PPR News Analysis
Paskali
Mwenye uwezo wa kusifia mtu aliyeua wananchi wake mwenyewe lazima atakuwa na matatizo ya akili.Mkuu Mayala huogopi kutukanwa na michadema iliyopo humu IDs 100 100?!!!! Yenyewe ipo kwa ajili ya kumtukana yeyote atakayeusema uzuri hata mmoja tu wa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Wao kitu yao ni ya kishetani hivyo wanapenda kusikia mabaya tu. Hongera kwa kuusema ukweli.
Ila asiye na matatizo ni yule aliyewakusanya majamvazi kuiba, kupora na kuharibu biashara za watu, au sio?!! Pumbavu kabisa wewe. Wizi uliopo huko wa tOne tone huuoni. Kerbu we!!Mwenye uwezo wa kusifia mtu aliyeua wananchi wake mwenyewe lazima atakuwa na matatizo ya akili.
Samia Suluhu Hassan ni mhalifu, mtu mwovu. Hata kama ungempamba vipi huwezi kuficha maovu ya huyo mwanamke.Mkuu Mayala huogopi kutukanwa na michadema iliyopo humu IDs 100 100?!!!! Yenyewe ipo kwa ajili ya kumtukana yeyote atakayeusema uzuri hata mmoja tu wa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Wao kitu yao ni ya kishetani hivyo wanapenda kusikia mabaya tu. Hongera kwa kuusema ukweli.
Samahani mkuu 'Chivundu'; unamzungumzia Pacal katika pumzi moja na Ulimwengu?Pasco ni mwandishi kasuku, unajua kwanini mpaka leo Jenerali Ulimwengu anaheshimika?
Generali amekuwa na msimamo usioyumba na fikra zake bila kuwa "kasuku" yaani "He has nothing to lose, hide, or anticipate from people he criticizes or conflicts with in terms of perspective. 😊
Uhalifu wake nini?!! Au amekuivia mumeo, me Hafidhi?!!! Kama alikuwa mumeo wako wewe kabla ya yeye sawa. Ila nchi hii, na nyingine yeyote ile, mfumo hauwezi kuruhusu watu wachache waiharibu ardhi takatifu kwa ,aslahi yake. Hivi wakati mnafanya fujo, kuua, kujeruhi, uharibifu na dhulma za Mali za watu Dr Samia alikuwa Raisi?!!!!Samia Suluhu Hassan ni mhalifu, mtu mwovu. Hata kama ungempamba vipi huwezi kuficha maovu ya huyo mwanamke.
Huyo unayempelekea ujumbe wako hapa anajulikana ni kahaba. Mbele ya pesa yeye haoni kitu kingine chochote; tofauti kabisa na msukumo unaokusumbua wewe.
Sasa unamsifu kwa kuwafanyia kazi waovu nyinyi; na unafikiri ujumbe wake unabadili chochote, kama siyo kuzidisha chuki zaidi juu ya huyo mhalifu Samia Suluhu Hassan?
Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuifanyia PNA hotuba ya rais Samia siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA ambayo yamekwenda sambamba na utoaji wa tuzo ya rais kwa mlipa kodi bora, ambayo ameitwa Mzee Saidi Salim Bakheresa
Kwa wasiojua PNA anzia hapa PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!
Viongozi wetu ni binadamu na sio malaika, they are only human, na binadamu wote ni sawa, na wanamahitaji sawa ya kibinadamu, kula, kuishi na mwisho kwake kurejea.
Binadamu wote wana yale mahitaji ya kawaida ya binadamu, kuvuta hewa, kula, kunywa, shelter etc, binadamu wote wanastahili heshima kuheshimu utu wake, and all human beings wanafanya makosa, no one is perfect, hakuna mkamilifu, hivyo anaweza kukosea makosa ya kawaida ya kibinadamu, tusimfanyie nongwa!
Miongoni mwa mahitaji muhimu sana ya viumbe wote is to love and be loved!, akifanya vema apongezwe as encouragement aendelee kufanya mema, na akifanya makosa, akosolewe kwa heshima kwa kutumia lugha ya staha, kistaarabu na kiungwana, na ukosoaji wenyewe ufanywe constructively kwa nia njema ya kujenga, sio kuzodoa au kubagaza!,
Mimi mwenzenu, huyu mtu, nilimnote siku nyingi kabla, kwanza mimi ndiye mtu wa kwanza kumtambulisha humu jf, ilikuwa ni 2010 New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa! Kisha ni mimi nikaweka list ya high profile women wa Tanzania ambao ni presidential material, ni yeye alishika number 1!. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
Ile mwaka 2017 nilimzungumzia Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na kumshauri yule Blaza wangu, ampishe huyu Mama awamu yake ya pili.
Hivyo baada ya kutokea kile kilichotokea, na yeye kuwa rais wa Tanzania by default, kwa kudra ya Mwenyezi Mungu, ni mimi tena nikawa lobby Watanzania, PreGE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Hivyo nikawathibitishia kuwa Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
Baada ya kuwa rais kuna siku alisema mwenyewe, mkinizengua, tutazenguana!, hivyo hapo juzi kati kuna vijana wetu wakazengua, wakazenguliwa!. Nawaombeni vijana wetu, mistake kutuzengua tena!, msimtibue mkazenguliwa tena!.
Alianza vema, baada ya kuzenguliwa kuna wakati alikuwa kila akihutubia sisi wanahabari pia alitupa zetu kuwa waandishi wakimkuna, atawakuna vizuri, ila waandishi wapara, wakimpara, atawaparua!, mtu anayeparua ni yule mwenye makucha!, hivyo nikashauri Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.
Baada ya kuwa rais wa JMT, ile humbleness yake aliyokuwa nayo mwanzo wakati akiwa VP, kama ilianza kutoweka toweka, nilimfanyia Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... hata mimi nikaanza kujiuliza maswali Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?
But as times go by, she is changing for better, akifanya vema opongezwe as encouragement to encourage her to keep on doing better and better, kuna wakati hotuba zake zilikuwa ndefu, lakini hotuba yake juzi pale Mlimani City kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya TRA, is one of the best ya hotuba zake!, it is short, less than 20 min, it's clear & concise!, Big Up Sana for this!
Nimeifanyia PNA hotuba hiyo ila kwanza msikilize mwenyewe
View: https://youtu.be/KXN3XzMx69o?si=6zD9VjC1F5j2YyhL
Naanza na transcription
Kisha nakuja kwenye PNA yangu kwanini hotuba hii ni one of the best!.
Kwa vile amezungumza mambo mengi, kwenye PNA yangu, nitachagua machache na kukuwekea
SSH = Samia Suluhu Hassan
PNA = PPR News Analysis
My Take:
Kwa vile katiba yetu imetoa msamaha kwa baadhi ya viongozi kutolipa kodi kwenye mishahara yao, viongozi hawa, wanapohimiza watu walipe kodi, huku wao hawakatwi kodi, hii inakuwa ni just like paying lip services only, hivyo nimeshauri Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!
Kauli huumba, angalia jinsi kauli zinavyoumba
Conclusion.
Sasa kufuatio kilichotokea, kimetokea, tusifute mema yake yote kwasababu ya tukio moja la October 29, no matter how bad, our situation was, mtu huyo huyo anayeongewa kwa ubaya, akibadilika na kufanya vema, apongezwe, ili kumu encourage aendelee kufanya mema, Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli! hivyo nawaomba wana jf, tumnenee mema ili wema umvae!.
Hotuba fupi, short, clear and concise, are the best!
Big Up Sana!,
Paskali
Samia ni muuaji. Ipo siku atalipia mauaji yake. Ipo siku tu.Ila asiye na matatizo ni yule aliyewakusanya majamvazi kuiba, kupora na kuharibu biashara za watu, au sio?!! Pumbavu kabisa wewe. Wizi uliopo huko wa tOne tone huuoni. Kerbu we!!
When it comes to money, he has to be seriousSometimes I don't think you are serious brother
Paskali wakati mwingine acha kufanya masihara na maisha ya watu. Kuna hasira kubwa ya watu kuuawa bila hatia na wengine kupotezwa na huyo unayempongeza. Acha ndugu yangu, usije ukajuta siku moja.Mwenye uwezo wa kusifia mtu aliyeua wananchi wake mwenyewe lazima atakuwa na matatizo ya akili.
Mkuu Ritayadi, Retired , kinacho chosha, kera! na kukutia kinyaa kwenye mada hii ni nini?!.Unajua Pascal unachosha, unakera! Unatia kinyaa! 29.10 haiwezi kurudi nyuma hata akigawa 3 trillion kwa kika mtu
Niko serious!.Sometimes I don't think you are serious brother
Ndo tunakuuliza, amekuulia mumeo yupi?!!!!Samia ni muuaji. Ipo siku atalipia mauaji yake. Ipo siku tu.