She is Changing for Better Akifanya Vema Apongezwe to Encourage her Hotuba Yake Miaka 30 ya TRA is One of The Best! Short Clear & Concise Big Up Sana!

Mkuu Ritayadi, Retired , kinacho chosha, kera! na kukutia kinyaa kwenye mada hii ni nini?!.
Japo Tanzania, tulipata tatizo ile October 29, haina maana kila kitu kimesimama kwasababu ya October 29!, no matter what happened, or how bad it was, life has to go on!, maisha lazima yaendelee, kama kuna mema na mazuri yanayofanyika sasa, ndio unataka tusiyataje eti kwasababu tuu, huko nyuma, kulitokea tatizo?.
No way!.
P
Hayapo mema tena milele katika utawala wake
 
Pasco ni mwandishi kasuku, unajua kwanini mpaka leo Jenerali Ulimwengu anaheshimika?
Mkuu Chivu, Chivundu, duh...!, yaani unaniita mimi ni mwandishi kasuku?!, ni kweli Jenerali anaheshimika katika mawanda yake, kila mwandishi ana mawanda yake na anaheshimika huko kwenye mawanda yake.
Generali amekuwa na msimamo usioyumba na fikra zake bila kuwa "kasuku" yaani "He has nothing to lose, hide, or anticipate from people he criticizes or conflicts with in terms of perspective. 😊
Kwa hili nakubaliana na wewe na kumheshimu Jenerali.
Huwezi ukawa unapingana mtazamo huku kuna kitu unategemea kutoka kwa hao hao unaopingana nao, huwezi kueleweka kote, ni kheri kuwa "join" tuu. Na wao wameshamtambua Pasco, namna hiyo; sio ajabu kupata kura moja pale Kawe 2020. 😊
Naheshimu mawazo yako kunihusu mimi na ile kura yangu moja ya Kawe?.
Generali, alimkosoa Mkapa na ubinafsishaji wa nyumba za serikali na anasumamia msimamo wake huo mpaka leo, bila kujali ulimuathiri vipi na hapo ndipo mtu anakuwa na heshima kwa pande zote; hata wale anaowapinga wanamheshimu.

Sasa ndugu yako; atakosoa huku anawaza kujitosa jimbo la Kawe 2030, lazima awe na ndimi mbili, atakuwa baridi, badae atakuwa moto. Huu ndio "ukasuku" wenyewe sasa katika uandishi wa habari.
Naheshimu maoni yako.
Leo dunia, inamtambua Jamar Kashoggi, usifikiri ni heshima ya yeye kuwa mwandishi wa habari; ni heshima ya kalamu yake isiyoyumba juu ya fikra zake. Leo Pasco akipeleka makala yake gazeti kubwa, Editorial-in-chief atahariri sana au atakuwa na vikao nae vingi, au hatachapa kabisa makala yake. 😊
Namtambua sio Jamal Kashoggi tuu, nawatumbua toka Stan Katabalo, Azory Gwanda, Ben Saanane na waandishi wengine mahiri wa habari za uchunguzi, hata mimi ni mwandishi wa IJ, nikiangalia hao wenzangu walipo sasa, kunanifanya nijitafakari kama niandike IJ niwafuate wenzangu, niitwe shujaa kama Jamal Kashoggi na Stan Katabalo, au ni nyamaze, niendelee kuwepo, Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
Heshima na tamaa, havikai nyumba moja.
Naunga mkono hoja tamaa na heshima havikai nyumba moja, ila naomba utofautishe tamaa na survival
Ukiona mbele kuna moto, huwezi kujitosa tuu kwenye moto kwasababu utaungua na kufa, japo utaitwa umekufa kishujaa, but you will be no more, dead!, dead man tells no more tales!.
Tuko kwenye jungle, the laws of the jungle applies, ni struggle for existance, survival is for the fittest, for one to be fit to survive, you have to be adaptable to the changing environment, if you can change and adapt, you just perish!.

I'm a survival!.
P
 
Mkuu Mayala huogopi kutukanwa na michadema iliyopo humu IDs 100 100?!!!! Yenyewe ipo kwa ajili ya kumtukana yeyote atakayeusema uzuri hata mmoja tu wa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Wao kitu yao ni ya kishetani hivyo wanapenda kusikia mabaya tu. Hongera kwa kuusema ukweli.
Mkuu Dr wa Manesi , asante, namshukuru sana Mungu, nimejaaliwa kuwa na ngozi ngumu, hivyo sio tuu siowaogopi hao manyumbu wa Chadema, mimi ni mkweli daima, na kwenye ukweli, nitausema ukweli wangu na simuogopi mtu yeyote!.
P
 
Kuna siku special na wewe tutakusalimia kwenye makazi Yako.... Mazafaka
Niliwakaribisha sana home kwangu na hadi ramani nikawapa, nakaa pale Tandale kwa Mtogole, pale kwenye ile nyumba ya kwenye kona ya CCM Tandale, ulizia kwa Mzee Pasco, utaletwa mpaka home, ila nikashauri, wakija wajipange ki kwelikweli, maana pale kuna machalii wangu wa kitaa, wakija ki bwege bwege au kizembe zembe, wao ndio hawatarudi!.

P.
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuifanyia PNA hotuba ya rais Samia siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA ambayo yamekwenda sambamba na utoaji wa tuzo ya rais kwa mlipa kodi bora, ambayo ameitwa Mzee Saidi Salim Bakheresa
Kwa wasiojua PNA anzia hapa PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!

Viongozi wetu ni binadamu na sio malaika, they are only human, na binadamu wote ni sawa, na wanamahitaji sawa ya kibinadamu, kula, kuishi na mwisho kwake kurejea.

Binadamu wote wana yale mahitaji ya kawaida ya binadamu, kuvuta hewa, kula, kunywa, shelter etc, binadamu wote wanastahili heshima kuheshimu utu wake, and all human beings wanafanya makosa, no one is perfect, hakuna mkamilifu, hivyo anaweza kukosea makosa ya kawaida ya kibinadamu, tusimfanyie nongwa!

Miongoni mwa mahitaji muhimu sana ya viumbe wote is to love and be loved!, akifanya vema apongezwe as encouragement aendelee kufanya mema, na akifanya makosa, akosolewe kwa heshima kwa kutumia lugha ya staha, kistaarabu na kiungwana, na ukosoaji wenyewe ufanywe constructively kwa nia njema ya kujenga, sio kuzodoa au kubagaza!,

Mimi mwenzenu, huyu mtu, nilimnote siku nyingi kabla, kwanza mimi ndiye mtu wa kwanza kumtambulisha humu jf, ilikuwa ni 2010 New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa! Kisha ni mimi nikaweka list ya high profile women wa Tanzania ambao ni presidential material, ni yeye alishika number 1!. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Ile mwaka 2017 nilimzungumzia Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na kumshauri yule Blaza wangu, ampishe huyu Mama awamu yake ya pili.

Hivyo baada ya kutokea kile kilichotokea, na yeye kuwa rais wa Tanzania by default, kwa kudra ya Mwenyezi Mungu, ni mimi tena nikawa lobby Watanzania, PreGE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Hivyo nikawathibitishia kuwa Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

Baada ya kuwa rais kuna siku alisema mwenyewe, mkinizengua, tutazenguana!, hivyo hapo juzi kati kuna vijana wetu wakazengua, wakazenguliwa!. Nawaombeni vijana wetu, mistake kutuzengua tena!, msimtibue mkazenguliwa tena!.

Alianza vema, baada ya kuzenguliwa kuna wakati alikuwa kila akihutubia sisi wanahabari pia alitupa zetu kuwa waandishi wakimkuna, atawakuna vizuri, ila waandishi wapara, wakimpara, atawaparua!, mtu anayeparua ni yule mwenye makucha!, hivyo nikashauri Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

Baada ya kuwa rais wa JMT, ile humbleness yake aliyokuwa nayo mwanzo wakati akiwa VP, kama ilianza kutoweka toweka, nilimfanyia Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... hata mimi nikaanza kujiuliza maswali Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

But as times go by, she is changing for better, akifanya vema opongezwe as encouragement to encourage her to keep on doing better and better, kuna wakati hotuba zake zilikuwa ndefu, lakini hotuba yake juzi pale Mlimani City kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya TRA, is one of the best ya hotuba zake!, it is short, less than 20 min, it's clear & concise!, Big Up Sana for this!

Nimeifanyia PNA hotuba hiyo ila kwanza msikilize mwenyewe
View: https://youtu.be/KXN3XzMx69o?si=6zD9VjC1F5j2YyhL

Naanza na transcription

Kisha nakuja kwenye PNA yangu kwanini hotuba hii ni one of the best!.
Kwa vile amezungumza mambo mengi, kwenye PNA yangu, nitachagua machache na kukuwekea
SSH = Samia Suluhu Hassan
PNA = PPR News Analysis

My Take:
Kwa vile katiba yetu imetoa msamaha kwa baadhi ya viongozi kutolipa kodi kwenye mishahara yao, viongozi hawa, wanapohimiza watu walipe kodi, huku wao hawakatwi kodi, hii inakuwa ni just like paying lip services only, hivyo nimeshauri Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!

Kauli huumba, angalia jinsi kauli zinavyoumba

Conclusion.
Sasa kufuatio kilichotokea, kimetokea, tusifute mema yake yote kwasababu ya tukio moja la October 29, no matter how bad, our situation was, mtu huyo huyo anayeongewa kwa ubaya, akibadilika na kufanya vema, apongezwe, ili kumu encourage aendelee kufanya mema, Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli! hivyo nawaomba wana jf, tumnenee mema ili wema umvae!.

Hotuba fupi, short, clear and concise, are the best!

Big Up Sana!,

Paskali

Mlivyo ******* na wepesi wa kusahau as if oct 29 ulimwagika mchuzi wa pweza tu.
 
Mkuu Ritayadi, Retired , kinacho chosha, kera! na kukutia kinyaa kwenye mada hii ni nini?!.
Japo Tanzania, tulipata tatizo ile October 29, haina maana kila kitu kimesimama kwasababu ya October 29!, no matter what happened, or how bad it was, life has to go on!, maisha lazima yaendelee, kama kuna mema na mazuri yanayofanyika sasa, ndio unataka tusiyataje eti kwasababu tuu, huko nyuma, kulitokea tatizo?.
No way!.
P
Ungekua umempoteza yule last born wako kama huyu mtoto aliyepigwa risasi October 29 akiwa hana hata namna ya kujihami ungesema maisha yaendelee huku ukiwa unapiga mapambio kwa aliyetoa amri mwanao kuuwawa?

Shame on you!
20260329_014442.jpg
 
Horse manure!
 
Mkuu Ritayadi, Retired , kinacho chosha, kera! na kukutia kinyaa kwenye mada hii ni nini?!.
Japo Tanzania, tulipata tatizo ile October 29, haina maana kila kitu kimesimama kwasababu ya October 29!, no matter what happened, or how bad it was, life has to go on!, maisha lazima yaendelee, kama kuna mema na mazuri yanayofanyika sasa, ndio unataka tusiyataje eti kwasababu tuu, huko nyuma, kulitokea tatizo?.
No way!.
P
Tatizo ni kuwa wananchi wana hasira na walichofanyiwa. Kwa ushauri wangu ni nafuu kunyamaza kuliko kuongea jambo ambalo siyo sahihi.
 
Back
Top Bottom