She is Changing for Better Akifanya Vema Apongezwe to Encourage her Hotuba Yake Miaka 30 ya TRA is One of The Best! Short Clear & Concise Big Up Sana!

She is Changing for Better Akifanya Vema Apongezwe to Encourage her Hotuba Yake Miaka 30 ya TRA is One of The Best! Short Clear & Concise Big Up Sana!

Mayala wa magufuli na mayala wa samia n mbingu na ardhi
Unatafuta uteuz kwa kas sana brother
 
Japo Tanzania, tulipata tatizo ile October 29, haina maana kila kitu kimesimama kwasababu ya October 29!,
For heavens sake, would you be saying this if on that date your darling was lying in the street dead...murdered in cold blood?
no matter what happened, or how bad it was, life has to go on!, maisha lazima yaendelee,
You have to be crazy or something, how does life go on for your son/daughter lying in the street dead...shot in the head?
 
For heavens sake, would you be saying this if on that date your darling was lying in the street dead...murdered in cold blood?

You have to be crazy or something, how does life go on for your son/daughter lying in the street dead...shot in the head?
Mkuu Mag3 ,hii post yako ndio nimeiona leo,naomba nitakujibu baada ya eddah

P
 
After 4 years she have 2 Vice pesident, 2 prime minsters, 2 Speaker and 4 DGIS She is changing from better to worst dictator ever ruled in Tanzania
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuifanyia PNA hotuba ya rais Samia siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA ambayo yamekwenda sambamba na utoaji wa tuzo ya rais kwa mlipa kodi bora, ambayo ameitwa Mzee Saidi Salim Bakheresa
Kwa wasiojua PNA anzia hapa PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!

Viongozi wetu ni binadamu na sio malaika, they are only human, na binadamu wote ni sawa, na wanamahitaji sawa ya kibinadamu, kula, kuishi na mwisho kwake kurejea.

Binadamu wote wana yale mahitaji ya kawaida ya binadamu, kuvuta hewa, kula, kunywa, shelter etc, binadamu wote wanastahili heshima kuheshimu utu wake, and all human beings wanafanya makosa, no one is perfect, hakuna mkamilifu, hivyo anaweza kukosea makosa ya kawaida ya kibinadamu, tusimfanyie nongwa!

Miongoni mwa mahitaji muhimu sana ya viumbe wote is to love and be loved!, akifanya vema apongezwe as encouragement aendelee kufanya mema, na akifanya makosa, akosolewe kwa heshima kwa kutumia lugha ya staha, kistaarabu na kiungwana, na ukosoaji wenyewe ufanywe constructively kwa nia njema ya kujenga, sio kuzodoa au kubagaza!,

Mimi mwenzenu, huyu mtu, nilimnote siku nyingi kabla, kwanza mimi ndiye mtu wa kwanza kumtambulisha humu jf, ilikuwa ni 2010 New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa! Kisha ni mimi nikaweka list ya high profile women wa Tanzania ambao ni presidential material, ni yeye alishika number 1!. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Ile mwaka 2017 nilimzungumzia Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na kumshauri yule Blaza wangu, ampishe huyu Mama awamu yake ya pili.

Hivyo baada ya kutokea kile kilichotokea, na yeye kuwa rais wa Tanzania by default, kwa kudra ya Mwenyezi Mungu, ni mimi tena nikawa lobby Watanzania, PreGE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Hivyo nikawathibitishia kuwa Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

Baada ya kuwa rais kuna siku alisema mwenyewe, mkinizengua, tutazenguana!, hivyo hapo juzi kati kuna vijana wetu wakazengua, wakazenguliwa!. Nawaombeni vijana wetu, mistake kutuzengua tena!, msimtibue mkazenguliwa tena!.

Alianza vema, baada ya kuzenguliwa kuna wakati alikuwa kila akihutubia sisi wanahabari pia alitupa zetu kuwa waandishi wakimkuna, atawakuna vizuri, ila waandishi wapara, wakimpara, atawaparua!, mtu anayeparua ni yule mwenye makucha!, hivyo nikashauri Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

Baada ya kuwa rais wa JMT, ile humbleness yake aliyokuwa nayo mwanzo wakati akiwa VP, kama ilianza kutoweka toweka, nilimfanyia Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... hata mimi nikaanza kujiuliza maswali Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

But as times go by, she is changing for better, akifanya vema opongezwe as encouragement to encourage her to keep on doing better and better, kuna wakati hotuba zake zilikuwa ndefu, lakini hotuba yake juzi pale Mlimani City kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya TRA, is one of the best ya hotuba zake!, it is short, less than 20 min, it's clear & concise!, Big Up Sana for this!

Nimeifanyia PNA hotuba hiyo ila kwanza msikilize mwenyewe
View: https://youtu.be/KXN3XzMx69o?si=6zD9VjC1F5j2YyhL

Naanza na transcription

Kisha nakuja kwenye PNA yangu kwanini hotuba hii ni one of the best!.
Kwa vile amezungumza mambo mengi, kwenye PNA yangu, nitachagua machache na kukuwekea
SSH = Samia Suluhu Hassan
PNA = PPR News Analysis


My Take:
Kwa vile katiba yetu imetoa msamaha kwa baadhi ya viongozi kutolipa kodi kwenye mishahara yao, viongozi hawa, wanapohimiza watu walipe kodi, huku wao hawakatwi kodi, hii inakuwa ni just like paying lip services only, hivyo nimeshauri Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!

Kauli huumba, angalia jinsi kauli zinavyoumba

Conclusion.
Sasa kufuatio kilichotokea, kimetokea, tusifute mema yake yote kwasababu ya tukio moja la October 29, no matter how bad, our situation was, mtu huyo huyo anayeongewa kwa ubaya, akibadilika na kufanya vema, apongezwe, ili kumu encourage aendelee kufanya mema, Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli! hivyo nawaomba wana jf, tumnenee mema ili wema umvae!.

Hotuba fupi, short, clear and concise, are the best!

Big Up Sana!,

Paskali

Kuna positions ambazo ni self motivating. Hata usipompongeza ni kazi bure kabisa, kwakuwa Urais wenyewe self motivating position. Ili kuwa Rais na kuapishwa kuna kazi kubwa sana ya kufanya. Maana nafasi yenyewe ni moja tu nchi nzima.

Ni kweli huyu mama kama tungemuongezea nguvu ya kumpigia japo makofi tu angetufikisha mbali sana kiuchumi, kijamii na kisiasa.
 
Say it again 😀 😀 😀 😀 😀
Not only I say it again, but also I say it again, and again and again, she is changing for the better!

When something good changes for the better,it eventualy ends up the best,unless if The Almighty decides to intervene

P
 
Back
Top Bottom