Huyu jamaa sasa apunguze kusema ukweli. Wasiojulikana wanamuona.Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
Baada ya kusubiri kulamba teuzi kwa miaka mingi bila mafanikio Mwamba Pascal Mayala sasa kaamua kuchomoa betri!Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
Huyu mara nyingi sana huongea ukweli.Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
Mkuu Kalamu, naheshimu sana mawazo yako na uhuru wako kusoma bandiko lolote, na kuliita vyovyote, kuwa ni bandiko la kipuuzi, na kumtukana tusi lolote mtoa mada, kitu usichokijua wewe ni kuwa una uwezo mdogo wa kiwango cha chini cha kusoma fasihi ya reading in between the lines kubaini the motive behind, hivyo kutosoma mada zangu ndio salama yako, kwasababu hata ungesoma, ungeishia kuambulia patupu!.Sijasoma chochote kwenye bandiko la kipuuzi; ila najuwa sasa hivi kuna mafungu ya pesa yanagawiwa kwa ... kama wewe kufanya kazi unayofanya hapa.
Hii ndiyo mbinu unayoitumia kujificha ukidhani watu hawawezi kuona kilicho upande wa pili. Huu ndio ubwege mkubwa unaokuhusu wewe.kana tusi lolote mtoa mada, kitu usichokijua wewe ni kuwa una uwezo mdogo wa kiwango cha chini cha kusoma fasihi ya reading in between the lines kubaini the motive behind, hivyo kutosoma mada zangu ndio salama yako, kwasababu hata ungesoma, ungeishia kuambulia patupu!.