Pascal Mayala: Waandishi wa habari walipwe posho kama Wabunge

Ni Jambo jema mno , maana ukiangalia kwa UDADISI , ni wanasiasa tu ndio wanaifakamia keki ya Taifa letu kwa maposho posho katika kila Kona, ziara ,kongamano,sijui uzinduzi etc, waone AIBU.
 
Kuna watu wanapenda rushwa jamani, hasa wale waliokuwa wa kile chama cha waandishi wa habari enzi za Daudi Mwakawago na Mkapa kilichokufa kibudu kimyakimya. Nakumbuka enzi zile wanapewa bahasha ya khaki, usafiri, chakula na vinywaji na malazi kiasi wakajisahau na kuomba nao wawe muhimili kama lilivyo bunge!
Hebu tuwaone walivyo,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Balozi Daudi Mwakawago wakati wa mazishi ya Mwanasiasa huyo mkongwe yaliyofanyika katika makaburi ya kisutu jijini Dar leo
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Seif Shariff Hamad wakati wa mazishi ya mwanasiasa mkongwe na mwanadiplomasia Marehemu Balozi Daudi Mwakawago yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar leo jioni.Katikati ni Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mh. Benjamin William Mkapa.
Bahasha zilipoyeyuka ninakumbuka yule aliyekuwa kiongozi wao alilalamika sana tena sana akidai wanawatumikia viongozi! Ambao eti wamewatupa! Huyu naye anataka atumie fursa ya kuwapamba wakati wa uchaguzi na waambulie bahasha zilizonona kama ng'ombe wa Uholanzi.

 
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 Poti bana.
 
Ovyo kabisa.
 
Hivi ndio vigezo vya Kuwa wabunge? una uhakika babu tale anazo hizo sifa hapo Mkuu?
 
Nadhani wakati umefika wasomaji wa magazeti hasa kurasa za michezo na siasa walipwe posho ya uvumilivu.
 
Je siyo kweli kwamba anayemlipa mpiga ZUMARI ndiyo huwa anachagua MWIMBO?
 
Msaka tonge anawapigia debe wasaka tonge wenxie akina mwijaku,babalevo na zembwela kingwendu mle kodi yangu hii HAPANA kwa kazi gani huu uchawa wenu.
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…