Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli ni muhimu sana kijifunza kuweka akiba ya maneno, mtu unayemponda leo, huwezi jua kesho atakuwa nani!.Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari.
Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti.
Hakika mkuu mambo yanaenda kasi sana!Kwa kweli ni muhimu sana kijifunza kuweka akiba ya maneno, mtu unayemponda leo, huwezi jua kesho atakuwa nani!.
Hongera Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais na JMT.
Paskali