Ramark JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 1,989 Reaction score 1,447 Jun 14, 2020 #121 Mnashindwa kulala kupumzika hekaheka za alfajir siku za wiki au kwenda jumuiya mnaangalia tv tena jicho ambalo linamakengeza
Mnashindwa kulala kupumzika hekaheka za alfajir siku za wiki au kwenda jumuiya mnaangalia tv tena jicho ambalo linamakengeza
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Mar 30, 2021 #122 johnthebaptist said: Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari. Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti. Click to expand... Kwa kweli ni muhimu sana kijifunza kuweka akiba ya maneno, mtu unayemponda leo, huwezi jua kesho atakuwa nani!. Hongera Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais na JMT. Paskali
johnthebaptist said: Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari. Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti. Click to expand... Kwa kweli ni muhimu sana kijifunza kuweka akiba ya maneno, mtu unayemponda leo, huwezi jua kesho atakuwa nani!. Hongera Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais na JMT. Paskali
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 30, 2021 Thread starter #123 Pascal Mayalla said: Kwa kweli ni muhimu sana kijifunza kuweka akiba ya maneno, mtu unayemponda leo, huwezi jua kesho atakuwa nani!. Hongera Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais na JMT. Paskali Click to expand... Hakika mkuu mambo yanaenda kasi sana!
Pascal Mayalla said: Kwa kweli ni muhimu sana kijifunza kuweka akiba ya maneno, mtu unayemponda leo, huwezi jua kesho atakuwa nani!. Hongera Dr. Mpango kuwa Makamu wa Rais na JMT. Paskali Click to expand... Hakika mkuu mambo yanaenda kasi sana!