Give us a break. Mayalla ni muoga tu kama waoga wengine. Huwa anapenda kurusha madongo kwa kificho. Usipokuwa makini unaweza kudhani yuko upande wa yule anayemrushia dongo!Bila uoga, kutetereka wala kumuogopa mtu yeyote, mwanahabari na mwanasheria nguli, Mzee Pascal Mayalla, ameeleza kinagaubaga bila kuacha shaka jinsi Ben Saanane na Azory Gwanda walivyotekwa na kupotezwa. Wawili hao tangu watekwe hawajawahi kuonekana tena kwenye uso wa dunia hii.
Mzee Mayalla hajaenda mbali na taarifa iliyowahi kutolewa na Profesa Paramagamba Kabudi akiwa Waziri wa Sheria, alipoutangazia ulimwengu kwamba:
“The government is still searching for people who disappeared and died, including Azory Gwanda and Ben Saanane.”
Profesa Kabudi aliyasema hayo wakati akihojiwa na chombo cha habari cha BBC alipokuwa ziarani huko Ulaya. Kwa hiyo, Mayalla amecheza mulemule katika mstari huo.
MAONI YANGU
Namkubali sana huyu mzee na ninamchukulia kama mwalimu wangu wa mfano (role model). Mwandishi wa habari unatakiwa uwe na viwango na ujasiri kama Mzee Mayalla. Hutakiwa kuogopa "nyinyinyi" wala "nywinywinywi." Amepasua jipu pwaaaaa!
Anayemchukia Mayalla ana chuki zake binafsi. Huyu ni mwandishi nguli na wa kupigiwa mfano ambaye tumepata kuwa naye tangu nchi hii ipate uhuru. Tumuunge mkono!
Soma pia Pascal Mayalla: Baada ya kupotezwa kwa Azory, Ben Saanane, Vyombo vya Habari vikaingiwa uoga
Mkuu unaweza kunitajia walau mwandishi mmoja wa habari mwenye ujasiri kama Pascal Mayalla ?Give us a break. Mayalla ni muoga tu kama waoga wengine. Huwa anapenda kurusha madongo kwa kificho. Usipokuwa makini unaweza kudhani yuko upande wa yule anayemrushia dongo!
Umeliweka vizuri hili katika mstari huo.Profesa Kabudi aliyasema hayo wakati akihojiwa na chombo cha habari cha BBC alipokuwa ziarani huko Ulaya. Kwa hiyo, Mayalla amecheza mulemule katika mstari huo.
Naona kama unaushirika naye; au mmeunganishwa na mnufaishaji kufanya hii kazi wakati muhimu huu.Mkuu unaweza kunitajia walau mwandishi mmoja wa habari mwenye ujasiri kama Pascal Mayalla ?
Wewe nitajie walau mwandishi mmoja mwenye uwezo wa kusema ukweli kama mkuu mzee Pascal Mayalla. Waandishi wengine wamegeuka kuwa chawa wa watawala mkuu.Naona kama unaushirika naye; au mmeunganishwa na mnufaishaji kufanya hii kazi wakati muhimu huu.
Kabedndera alisema ukweli tu baada ya kuikimbia nchi. Mzee Pascal Mayalla hajawahi kuikimbia nchi. Anasemea humu humu ndani bila woga.Kabebdera anasemaje
Mimi sijui ni "ukweli" gani unaomhusisha nao huyo unayemsifia wewe.Wewe nitajie walau mwandishi mmoja mwenye uwezo wa kusema ukweli kama mkuu mzee Pascal Mayalla. Waandishi wengine wamegeuka kuwa chawa wa watawala mkuu.
Waandishi waoga kama Mayalla wapo wa kumwaga. Majasiri, kama wapo wamebaki wachache sana. Wengi wameshauawa!Mkuu unaweza kunitajia walau mwandishi mmoja wa habari mwenye ujasiri kama Pascal Mayalla ?
Hili peke yake lingekupa mwanga kujuwa kwamba huyo hana ukweli.Kabedndera alisema ukweli tu baada ya kuikimbia nchi. Mzee Pascal Mayalla hajawahi kuikimbia nchi. Anasemea humu humu ndani bila woga.
Mkuu kwani hayo aliyoyasema Mayalla ni uwongo? Unataka watanzania waendelee kupotezwa mpaka lini? Kuwa huruma na wenzako wanaopotezwa kila kukicha. Na wao pia wana wazazi na watoto wanaowaachia uchungu hapa duniani.Umeliweka vizuri hili katika mstari huo.
Huyo unayemwita "Mzee Mayala" ni mcheza sarakasi za serikali hiyo hiyo.
Sasa sijui ni kipi kilichoku'impress' sana wewe hadi kuzuzka namna hii unayoonyesha hapa, wakati hakuna lolote jipya wala la maana lisilojulikana.
Huko kusema kwa huyo Profesa wa Jalalani, ambayo wala siyo taarifa ya maana yoyote?
Umetengeneza kichwa cha mada isiyoendana/lingana na taarifa iliwasilishwa chini yake kwa maksudi tu ya kupotosha.
Yapi aliyosema ya kweli, ambayo wewe unafikiri yatazuia waTanzania kuuliwa. Mimi siyaoni.Mkuu kwani hayo aliyoyasema Mayalla ni uwongo? Unataka watanzania waendelee kupotezwa mpaka lini? Kuwa huruma na wenzako wanaopotezwa kila kukicha. Na wao pia wana wazazi na watoto wanaowaachia uchungu hapa duniani.