Kwani hivyo vifo alivyoviongelea hadharani havina maana yoyote mkuu?never trust a communist hata siku moja, yuko kwenye payrolll ya communist, ukitaka kumpima mwambie baada ya hapo aongelee kifo cha Kibao pia au uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu gerezani ndiyo utajua kama kweli yuko sincere au he is bought ...
Na Pasco ndiye alimchoma Kabendera hadi wahuni wakamdevela na kumuweka ndichi .Hakuna la maana lolote aliloeleza huyo mnafiki.
Erick Kabendera ndio alielezea matukio yote mawili vizuri juu ya kilichotokea.
Katika watu wanafiki siwezi kuwaamini ni Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe na Pascal Mayalla.Na Pasco ndiye alimchoma Kabendera hadi wahuni wakamdevela na kumuweka ndichi .
Ongeza Profesa Kabudi.Katika watu wanafiki siwezi kuwaamini ni Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe na Pascal Mayalla.
Kwani Pascal Mayalla mbona sio mwanasiasa mkuu?Katika watu wanafiki siwezi kuwaamini ni Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe na Pascal Mayalla.
Kwani Pascal Mayalla mbona sio mwanasiasa mkuu?
Vipi na Tundu Lissu kupigwa risasi nao ni uongo?Ally Kibao kutekwa akiwa ndani ya basi la abiria pia ni uongo?Give us a break. Mayalla ni muoga tu kama waoga wengine. Huwa anapenda kurusha madongo kwa kificho. Usipokuwa makini unaweza kudhani yuko upande wa yule anayemrushia dongo!
Umesoma na kuelewa nilichoandika?Vipi na Tundu Lissu kupigwa risasi nao ni uongo?Ally Kibao kutekwa akiwa ndani ya basi la abiria pia ni uongo?
Polpole je??
Mauaji ya Zanzibar Mkapa alikiri kuhusika akiwa Raisi wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM nao ni uongo?
Bilioni 40 za kagoda limited zilizoibwa nao ni uongo?
Nimeandika uongoUmesoma na kuelewa nilichoandika?
Humu pia kumejaa watekaji mkuu. Hawataki kusikia watu jasiri kama Pascal Mayalla wakitoboa mbinu wanazotumia kuwateka watu na kuwaua. Mungu anawaona.Vipi na Tundu Lissu kupigwa risasi nao ni uongo?Ally Kibao kutekwa akiwa ndani ya basi la abiria pia ni uongo?
Polpole je??
Mauaji ya Zanzibar Mkapa alikiri kuhusika akiwa Raisi wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM nao ni uongo?
Bilioni 40 za kagoda limited zilizoibwa nao ni uongo?
Huwezi kupata jasiri kwenye wasaka tonge. Inshort ni muoga kama waoga wengine. Muandishi wa habari ujasiri ni Khalifa wa the chanzo tv.Mkuu unaweza kunitajia walau mwandishi mmoja wa habari mwenye ujasiri kama Pascal Mayalla ?
Anatingisha kiberiti ili aitwe apozwe.Sasa hv kabadilika hajikombi tena kwa CCM mkuu
Mzee Pascal Mayalla alikanusha hili, mpaka Kuna Uzi humu akikanusha hili.Na Pasco ndiye alimchoma Kabendera hadi wahuni wakamdevela na kumuweka ndichi .