Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Naaamini paskali hutakatuangusha wana jf.maana hoja zotee tayalo zilikua upande wako.kilicho bakia ni submission tuu
 
Hapna simjui mm nimgen hum nimeingia leo lbda kakaangu ,,,nayy n mtu wa tanga????aaah
Mayasa anza kutembelea majukwaa mbalimbali humu,kuna jukwaa la hoja mchanganyiko,chit chat,jukwaa la mapenzi,kwa wewe ambae hupendi mambo ya siasa.
 
Pole sana broh Pascal na Hongera kwa kaz nzur huenda ukawafungua masikio nao wakafaham kuwa kweli mhimili wa Bunge umekuwa kibaraka wa serkal
 
Mbona ilikuwa rahisi maana CAG kampa nondo
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema

Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.

Habari zaidi, soma => Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
ahiaa
 
Back
Top Bottom