Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Ndio, hapo alitereza kidogo, ni ubinadamu tu. Lakini alipotupwa kwenye kura za maoni akigombea ubunge, ndio akajua kuwa ni bora kubakia katika prof yake.Ni kweli paschal ni mjuzi, tatizo kuna kipindi aliacha kuwa objective akajikita kwenye ukada na ushabiki zaidi ili aonekane kwa akina fulani
Iko hapa Jf, itafute tu utaipata.Hiyo thread ikowapi ndugu ??
Huo muda sina wewe uliyeleta hii mada ulipaswa kufanya hivyo,Iko hapa Jf, itafute tu utaipata.
nakumbuka enzi za mafuriko ya Lowassa kwenye kampeni alimlia sana Laigwan hela yani alikuwa anapokea mfulululizo bahasha za kaki. Huyu pasco na kale kabunge ka Geita msukuma kula sana pesa za Laigwan. Msukuma hadi alishuka na chpa kwa mbwembwe uwanjani sheikh abeidNi kweli paschal ni mjuzi, tatizo kuna kipindi aliacha kuwa objective akajikita kwenye ukada na ushabiki zaidi ili aonekane kwa akina fulani
Mkuu hupo sasa hivi Dar Arusha ama homu Longido. Maza labda sasa hivi atafikiria barabara ya lamiSanya juu hadi Longido.Huo muda sina wewe uliyeleta hii mada ulipaswa kufanya hivyo,
Otherwise tutachukulia hii kama porojo nyingine tu.
Tupia huo uzi alioutabiri huo mwaka! Ili tujilizishe kama ni kweli au ni swaga zako tuu za kutaka kumpigia chapuo kwa ssh.Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.
Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.
Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Acheni kujipendekeza.Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.
Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.
Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.
Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.
Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Hacha watu waendelee na Uhuru wao, wewe usiwapangie...Acheni kujipendekeza.