Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Karibu mitaa hii.
P
Pasco hivi uliandika lolote kabla huyu man of God ahajapatwa na madhira haya?
images (3).jpeg
 
Pasco hivi uliandika lolote kabla huyu man of God ahajapatwa na madhira haya?
Soma tuu tarehe ya bandiko hili
Ila pia lazima uwe na angalau uwezo wa kusoma in between the lines, ikitokea hauna, then mimi nitakuinbweeniini for you.
P
 
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -
Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.

Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.

Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.

Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

CC46E734-C34D-4A0E-AE9A-9CFA87462C2C.jpeg
 
Soma tuu tarehe ya bandiko hili
Ila pia lazima uwe na angalau uwezo wa kusoma in between the lines, ikitokea hauna, then mimi nitakuinbweeniini for you.
P
P
Soma tuu tarehe ya bandiko hili
Ila pia lazima uwe na angalau uwezo wa kusoma in between the lines, ikitokea hauna, then mimi nitakuinbweeniini for you.
P
Huwa nakusoma kwa utuvu sana.. na kukuelewa nyuzi zako ngoja niisome sasa
 
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -
Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.

Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.

Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.

Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!
Kama una maono kwa nini ujaona na ....
 
Hata mimi ninamkubali sasa!
 
Usitake kumpa sifa hizo wakati pia ana bandiko akisema baada ya Magufuli Makonda atatufaa.
 
Back
Top Bottom