Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Onyesha ushahidi mkuu, tofouti na hapo yatakuwa majungu tu,
Na utakuwa miongoni wanaotaka kushusha heshima ya JF
Nimekaa kimya sio kwamba nashindwa kufanya hicho unachosema bali lengo langu ni kumfahamisha tu kuwa nafahamu anachokifanya na sio kushusha heshima ya mleta mada.

Nilichoandika hapa atakua amenielewa. Sitaenda zaidi ya hapa. I am done.
 
Acha mbwembwe we jamaa unakopi thread za watu unajifanya umetabiri.

Sio mara moja ni mara mbili umefanya hivyo.
Nitakushukuru sana kama ukiniwekea thread yangu yoyote ambayo nimecopy nikajifanya nimetabiri.
P
 
Mayalla fanya na wewe ufungue kanisa lako la upako upige pesa, una maono sana wewe mtu wa Mungu.
Ile tabiri yako ya 2014 kuhusu Magufuli ilinifanya nikuheshimu sana ingawa najua kabisa mtoto wa nyoka hawezi kua mjusi.
Baba nyoka, mama nyoka halafu mtoto anakataa katakata kua DNA yake inaonyesha yeye ni mjusi na haina vinasaba vyovyote vya nyoka.
 
Nimekaa kimya sio kwamba nashindwa kufanya hicho unachosema bali lengo langu ni kumfahamisha tu kuwa nafahamu anachokifanya na sio kushusha heshima ya mleta mada.

Nilichoandika hapa atakua amenielewa. Sitaenda zaidi ya hapa. I am done.
Moja ya sifa kuu za JF ni truthfulness and transparency. Kanuni ya haki ni, he who alleges must prove. Kunituhumu mimi kufanya plagiarism ni tuhuma very serious kwangu. Hivyo nakuomba Kwa hisani yako unitendee haki kwa kuleta links, ila sikulazimishi, na ikitokea usilete links zozote kwa kisingizio chochote, usijali, nitaelewa.
P
 
Ni kweli paschal ni mjuzi, tatizo kuna kipindi aliacha kuwa objective akajikita kwenye ukada na ushabiki zaidi ili aonekane kwa akina fulani
Ana mambo ya kipuuzi tangu alipopewa hela kwenye ile project iliyoshindea ya yakuiua chadema
 
Mayalla fanya na wewe ufungue kanisa lako la upako upige pesa, una maono sana wewe mtu wa Mungu.
Ile tabiri yako ya 2014 kuhusu Magufuli ilinifanya nikuheshimu sana ingawa najua kabisa mtoto wa nyoka hawezi kua mjusi.
Baba nyoka, mama nyoka halafu mtoto anakataa katakata kua DNA yake inaonyesha yeye ni mjusi na haina vinasaba vyovyote vya nyoka.
Mkuu Flano , vinasaba vya DNA ya security conscious ninavyo, na kuna hoja recruitment ya huko ni kupeleka watoto wao, sasa sisi tumezaliwa watoto 8, jee watoto wote 8 watakuwa recruited?.
Ningekuwa huko ningeweza kweli kuibua hoja kama hili ?TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Au ushauri kama huu Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?, ningeuleta humu JF?.

Mimi ni Mwandishi tuu wa habari wa kawaida, ila pia nakiri, kudhaniwa kupo, na kunasaidia saidia kupenya sehemu sehemu kama hizi

Wale 'jamaa zetu' wanakupisha wakiamini ni mwenzao!.
Ukifika mahali ukakutana na foleni ya ajabu, na mbele kuna traffic, unatanua hadi kwa frafiki na kumsalimia jambo, hakuulizi kitu, unajipitia. Hivyo inasaidia saidia!. Hata katika mambo yetu yalee!, ni mteremko...! na msesereko, ukigusa tuu!...
naomba nisimalizie!.
P
 
Acha mbwembwe we jamaa unakopi thread za watu unajifanya umetabiri.

Sio mara moja ni mara mbili umefanya hivyo.
Naona mnagombea kujisifia upumbavu sasa huo utabili ulikuwa unaonyesa huyu zuzu ni bora kuliko JPM matokeo yake nchi inazama , rais zuzu anakuambia bei ya mafuta tz ni rahisi kuliko USA hivyo sisi tupo vizuri kimaisha kuliko wamarekani ? Very primitive president....totally shit hole things
 
Mkuu Flano , vinasaba vya DNA ya security conscious ninavyo, na kuna hoja recruitment ya huko ni kupeleka watoto wao, sasa sisi tumezaliwa watoto 8, jee watoto wote 8 watakuwa recruited?.
Ningekuwa huko ningeweza kweli kuibua hoja kama hili ?TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Au ushauri kama huu Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?, ningeuleta humu JF?.

Mimi ni Mwandishi tuu wa habari wa kawaida, ila pia nakiri, kudhaniwa kupo, na kunasaidia saidia kupenya sehemu sehemu kama hizi

Wale 'jamaa zetu' wanakupisha wakiamini ni mwenzao!.
Ukifika mahali ukakutana na foleni ya ajabu, na mbele kuna traffic, unatanua hadi kwa frafiki na kumsalimia jambo, hakuulizi kitu, unajipitia. Hivyo inasaidia saidia!. Hata katika mambo yetu yalee!, ni mteremko...!
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuu lakini kila nikijitahidi kuidanganya nafsi yangu kwa kuiaminisha kua wewe ni mjusi tu uliozaliwa na nyoka inakataa kabisa.
Anyway mkuu fuata ushauri wangu wa kufungua kanisa la maono ya upako hakika lazima utajilaumu sana kua siku zote ulikua wapi mpaka ukachelewa kufungua kituo cha huduma za kiroho kwa hawa dada zetu wanaoshinda makanisani kusubiria bwana awatendee miujiza katika maisha yao.
 
Asante Sana kwa ushauri, nitauzingatia, ila pia na wewe Mkuu Flano , you have the powers fulani nimezinote!.
P
 
Kuna ambalo niliandika 2016 jamaa akakopi 2017 halafu anaanza kujisifia.

Watu bhana.
Mkuu Stroke aka statesman, nitakushukuru sana kama utatuwekea links ya hilo bandiko lako original la 2016 na plagiarized copy ya 2017, au supposed umelisahau jina, then hata ukituwekea links tuu ya bandiko lako lolote... nitakushukuru!.
P
 
Back
Top Bottom