Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji wa Serikali

Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji wa Serikali

Hiyo Post unayo mpigia chapuo ni ya kiserekali na ina ukomo wa umri. Nadhani itaikosti serekali sana kumteua mtu akakae pale miezi kadhaa tu halafu astaafu kwa mujibu wa sheria. Kumbuka tunaheshimu utawala bora
Mbona "Babu Slaa" aliteuliwa na umri wake mkubwa ndio itakuwa Mayalla
 
Mda si mrefu atapewa kitengo hicho..mheshimiwa raisi alishawahi kumtania huyu bwana pale ikulu..nadhan siku akimteua atamkumbusha Tena ule utani...
N:B I am a next state man but I don't know the real date and year

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga hoja japo mimi Mkenya, huyo jamaa huwa very resourceful, napenda sana kusoma mada zake, very analytical and insightful.
kwa Pascal ninayemjua ni mtu wa msimamo na msema kweli hana longolongo na hakai na ulaghai
tangu enzi za KITIMOTO aliweza kuwabana kina Lyatonga Mrema.
Kwa miaka hii hataweza kukaa mahali afunikwe au afumbwe mdomo, lazima atachomoza kupinga
bora ajipumzikie asije poteza heshima km msemaji wa Serikali
ukiniambia Ubunge kwa sasa unamfaa ukilinganisha na umri wake
 
Ili baadae mje kumshushua kuwa mlimtabiria/mlimwombea kazi? Ili asiharibu kichwa chake, abaki alipo. Dr Bashiru na Polepole walikuwa watu wa maana lkn siku hizi wamekuwa rejects

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom