Mbona "Babu Slaa" aliteuliwa na umri wake mkubwa ndio itakuwa MayallaHiyo Post unayo mpigia chapuo ni ya kiserekali na ina ukomo wa umri. Nadhani itaikosti serekali sana kumteua mtu akakae pale miezi kadhaa tu halafu astaafu kwa mujibu wa sheria. Kumbuka tunaheshimu utawala bora
Baba maisha ni magumu bila kuunga mkono juhudi utakula nn.Hahahahaa,ndio maana anakazana kweli kuunga mkono juhudi!
Soma nilichokiandika usijibu tu kwa mihemkoMbona "Babu Slaa" aliteuliwa na umri wake mkubwa ndio itakuwa Mayalla
Anamuongelea mwenye njaa ambaye sasa hivi yupo kutafuta chakula kwa maandiko yake ya ajabu ajabuKuna Paschal Mayala wawili
1. Mwenye njaa
2. Asie na njaa
Hapa unamuongelea yupi?
kwa Pascal ninayemjua ni mtu wa msimamo na msema kweli hana longolongo na hakai na ulaghaiNaunga hoja japo mimi Mkenya, huyo jamaa huwa very resourceful, napenda sana kusoma mada zake, very analytical and insightful.
MWALI HAJILETI, MWALI HULETWA KWA KUBEBWA MGONGONI.Pasco
Pasco mwenyewe mbona haji kwenye uzi huu???
Naunga hoja. AnatoshaKweli bwana huyu jamaa anatosha kabisa ukizingatia pia anaimudu vyema lugha ya mabeberu