Pascal Mayalla apata ajali.....

Pascal Mayalla apata ajali.....

japo thread ni ya cku nyingi ila huyu jamaa namkumbuka sana ndio mwasisi wa jina la KITI MOTO. Alikuwa na kipindi bomba sana ITV chenye jina hilo miaka ya 1990 bahati nzuri/mbaya biashara ya mdudu kwn mabaa mengi ndo ilishamir kipindi hicho basi wadau wakaanza kuita ile nyama kitimoto. He is one of professional and legendary jounalists we have in tz. last longer man!
Tupe madini mkuu
 
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.

Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.


Pole sana Pasco, Mungu akusaidie upone haraka , Amina.

Haya ma pikipiki yametupotezea ndugu zetu na wazee wetu . Ni kwa vile mtu unakuwa huna budi tu, lakini usalama wake ni mdogo sana.
 
Screenshot_20230709-230827.png
 
Mdau ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki

Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.
Kwani,uliwahi kupatwa na karma au umeandika kwa kadiri ya ranges zako za 9/10 na 10/10?Leo umeandika hisia bila uhalisia mwana TSJ.
Haya ni malipo ya karma!.
NB. Hili tukio ni la 2008!, leo nimelikumbushia kufuatia mimi kuwa ni mhubiri sana wa kitu kinachoitwa karma, na mimi kuwa shuhuda wenu mambo ya karma nimeyapitia na nayapitia
P
 
Back
Top Bottom