Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.
Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.
@Alihatarisha maisha yake mwenyewe,kwa chombo alicho tumia.Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.
Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.
Sjambo shikamooHujambo dogo
Mungu amjalie mapema arudi kwenye Hari yake kiongozi wetuMdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.
Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.
Alisharudi muda na alyeleta taarifa alishavuta!!Mungu amjalie mapema arudi kwenye Hari yake kiongozi wetu
Ugua pole mdau na home boy.Mungu akupe afya njema urudi kupambana .
Mpoki alifariki?(RIP Mpoki Bukuku)aliyeleta Taarifa hii ... Pascal Mayalla Mungu aendelee Kukulinda.
Mpoki wa mwananchi alifariki ni muda tu UPO Uzi pia umu ndani.Mpoki alifariki?
Where was I?
Nzuri tuMzee hii habari ni ya miaka mingi iliyopita
Daah nadhani ilikuwa 2013 au 2014 aligongwa na Gari maeneo ya ITV wakati ule Barabara ya Ally Hassan Mwinyi ilikuwa Barabara 3 yaani Asubuhi Mjini Yanaenda 2 kurudi 1 and vice versaMpoki alifariki?
Where was I?
Oooh ilikuwa 2016 MsaniiMpigapicha maarufu Mpoki Bukuku amefariki dunia leo katika Taasisi ya Mifupa (MOI), alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma (MOI) Almas Jumaa.
"Ni kweli Mpoki amefariki dunia mchana huu, alipokelewa jana usiku baada ya kupata ajali ya gari maeneo la Mwenge ITV, taarifa zaidi tutazitoa baadaye," alisema Almas.
Mpoki Bukuku amewahi kufanya kazi kama Mpiga Picha Mkuu katika gazeti la Mwananchi, linalochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Pia amewahi kufanya kazi magazeti kadhaa likiwemo Majira na Nipashe.
KUNA JAMAA AMENUNUA PIKIPIKI USD 8,000/ HALAFU NI USEDBinafsi napenda usafiri wa pikipiki,lakini ubaya wake body ni wewe mwenyewe;kuna mtu ameshangaa/ametilia mashaka kwa uwezekano wa kusafiri kwa pikipiki umbali mrefu kama huo wa Dar-Dom.
Ukweli ni kwamba inategemea na aina ya pikipiki yenyewe;kwasababu ninavyojua mimi kuna pikipiki za safari ndefu na zina kasi kuliko gari au sawa na gari.Nilikuwa Morogoro mwaka 2006 kuna jamaa wanatoka Zambia kuja Moro..kwa kutumia pikipiki.Na pikipiki hizi.
zinazotumika kwa safari ndefu huwa zinajulikana kama Cross country na nilizobahatika kuziona ni brand ya Mercedes Benz,BMW na mara nyingi utakuta hazitumii mnyororo bali zinakuwa na propeller shaft ndogo(fupi) ambayo haiwezi kulingana na ya gari.
Hivyo basi,sijui huyu ndugu yetu alikuwa na pikipiki ya vigezo vya kwenda safari ndefu au basi tu aliamua kulazimisha tu kwa utashi wake bila kuangalia vigezo vya manufacturer.
Lakini,hata hivyo na mpa pole sana na naomba mwenyezi Mungu amponye aweze kurejea katika hali yake ya kawaida.