Bibi Ntilie
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 245
- 8
Pole sana Pascal. Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya Channel 10 juu ya nane nane nikakukumbuka na kujiuliza kama uko Dodoma. Pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole Sana Mayala Aka Msimila Those Days Ilboru. Ulivyolala Kama Uko bwenini Oldonyo Unasubiri Kwenda kukamata Chui La Mzee Akwii. Nitawasiliana Na Wasimila Wote Kuhusu Hilo Suala.
Wana Jf Samahani Kidogo Kwa Lugha Niliyotumia Kama Haieleweki Kwenu. Hiyo Ni Lugha Tuliyokuwa Tunatumia Pale Ilboru Tukiwa Na Mayala Enzi Zile.
Pole Paskali, tunakuombea upone haraka. Kile kipindi chako cha KITI MOTO kilihamia kwenye baa zetu moja kwa moja? Kirudishe bwana. Kiliwachangamsha sana wanasiasa wetu.
KwahiyoPikipiki ya PASCAL MAYALLA haikuwa imesajiliwa 2008, na post hizo juu ni za 2008, sasa ni miaka 6 toka hii itokee......