Pascal Mayalla ataka wataalamu wa Kemia waje watueleze sintofahamu ya Fumigation na Barakoa baada ya kutafakari hotuba ya Rais Magufuli

Ni wazo zuri Yohana, ila hao hao wanahabari huu ndio ulikuwa wakati muafaka wa kuwa wanatafuta watalaamu wa afya na kuwahoji masuala kama hayo. Nashangaa sana sioni Tv zetu zikiwaalika watalaamu kujibu maswali ambayo mengi yanawasumbua wananchi.
 
Hakuna sehemu yoyote duniani ambapo POLITICS has never intervened professionalism, most of politicians interfere profession, go anywhere even in the US

Mfano mzuri ni Trump hana heshima kwa taaluma za watu CNN IKIWEMO ndio maana yeye na tweet tweet na yeye


Hukusiki hata China Dr aliyeona dalili za Corona mapema kabisa alinyamazishwa????? Hadi umauti ukamkuta akiwa tayar ashaambukizwa virus??

Acheni kubeza, kujamba ni kujamba tu haijalishi kajamba nani,hata awe baba au tajiri kajamba tu


Unataka iutuambia kujamba kwa mataifa ya nje siyo kujamba????? Unafikiri hiyo ni Spray????? Wote wanajamba tu acheni kujitoa ufahamu kama hamjasoma kazi kuvua elimu zenu nakujifanya kama hamjasoma


Hakuna sehemu hapa duniani ambapo mambo yako extremum settled never!!!



Think beyond the box mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaonyesha una ujuzi na kujamba.

siasa na wanasiasa

toyota corona na wataalamu
 
Kwa hoja za wasemaji wasiokuwa Mwanza ni kwamba tukitegemea vyanzo vya habari kutoka kwa wasemaji wa Serikali tutakosa mengi. Wangeacha waandishi wakaingia hadi hostel za Magufuli tungesikia mengi mazuri.
 
Pascal achana naye, natafuta kuwatumikia wananchi! TZ hakuna environment ya science ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…