johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Wewe unamuonaje?kwahiyo mayalla ana hekima???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unamuonaje?kwahiyo mayalla ana hekima???
Ni wazo zuri Yohana, ila hao hao wanahabari huu ndio ulikuwa wakati muafaka wa kuwa wanatafuta watalaamu wa afya na kuwahoji masuala kama hayo. Nashangaa sana sioni Tv zetu zikiwaalika watalaamu kujibu maswali ambayo mengi yanawasumbua wananchi.Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza kuttumika kuihujumu nchi kwa kuletwa zikiwa na vimelea vya Corona.
Pascal na Dotto Bulendu wamesisitiza kuwa huu sio wakati wa kuwaachia waandishi wa habari waliosoma HGL na HGK pekee kuripoti habari za Corona bali wanahitajika wabobezi wa maswala ya afya katika kulihabarisha taifa.
Source Star tv
Hakuna sehemu yoyote duniani ambapo POLITICS has never intervened professionalism, most of politicians interfere profession, go anywhere even in the USBongo hatuheshimiani kwa taaluma, hao unaowaita wandishi wa habari wapo kwenye vyombo vya kueneza habari... lakini cha ajabu hawajisumbui kuwahoji wataalamu.
Kila saa mahojiano na wasanii, eti watu maarufu... ona hadi matangazo ya kuelimisha watu kuhusu kujihadhari na Corona wapo Snura na Sholo Mwamba sijui Gigi Money [emoji2377]
Hao wataalamu watasikika kupitia wapi.?
Huyo Pascal Mayalla atuambie ni lini amealika na kuhoji Wakemia kwenye vipindi vyake.
Kwa hiyo kupuliza dawa ilikuwa jambo sahihi kabisa?
How do you sneeze?Kama PUA sio portal of entry.
What’s the barakoa for.? 🤷🏾♂️
Si tungevaa miwani kukinga macho.?
inaonyesha una ujuzi na kujamba.Hakuna sehemu yoyote duniani ambapo POLITICS has never intervened professionalism, most of politicians interfere profession, go anywhere even in the US
Mfano mzuri ni Trump hana heshima kwa taaluma za watu CNN IKIWEMO ndio maana yeye na tweet tweet na yeye
Hukusiki hata China Dr aliyeona dalili za Corona mapema kabisa alinyamazishwa????? Hadi umauti ukamkuta akiwa tayar ashaambukizwa virus??
Acheni kubeza, kujamba ni kujamba tu haijalishi kajamba nani,hata awe baba au tajiri kajamba tu
Unataka iutuambia kujamba kwa mataifa ya nje siyo kujamba????? Unafikiri hiyo ni Spray????? Wote wanajamba tu acheni kujitoa ufahamu kama hamjasoma kazi kuvua elimu zenu nakujifanya kama hamjasoma
Hakuna sehemu hapa duniani ambapo mambo yako extremum settled never!!!
Think beyond the box mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mwenye hekima ni Lema, Mbowe na Mdeekwahiyo mayalla ana hekima???
Pengine hana DigriiHilo dongo limefika mahala pake[emoji23]huko alipo ben wa saanane nadhani anacheka sana hivi kirefu cha PHD ni nini vilee[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeongezea kuwa alikuwa ni mzalendo wa kweli ila sasa amenunuliwa na kuwa kada mtiifu wa chama tawala.Ni wazo zuri sana. Tanzania, badala ya wataalam kuwafundisha wasio na utaalam, wasio na utalaam wanafanya kazi ya kuwafundisha wataalam!!
Sent using Jamii Forums mobile app
How do you sneeze?
Lakini ni port of entryWewe una ‘sneeze’ kuingia ndani.? sidhani kama ulielewa dhana ya ulizo langu.
Lakini ni port of entry
Pascal achana naye, natafuta kuwatumikia wananchi! TZ hakuna environment ya science ...Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza kuttumika kuihujumu nchi kwa kuletwa zikiwa na vimelea vya Corona.
Pascal na Dotto Bulendu wamesisitiza kuwa huu sio wakati wa kuwaachia waandishi wa habari waliosoma HGL na HGK pekee kuripoti habari za Corona bali wanahitajika wabobezi wa maswala ya afya katika kulihabarisha taifa.
Source Star tv