Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Sasa brother utaki sema jimbo tatizo nini?
 
Tunakutakia heri na fanaka. Tuaomba usiwe mbunge inje ya bunge.
 
Nahisi huyu ataenda ACT
 
Unastahili kuwa Mbunge nzehe labda zengwe la kwenye mchujo ndo kikwazo ukivuka hapo baaaaasi
 
Ni haki yake

Who cares?

Interestingly,sisi sio wapiga kura wake

Ni vizuri akaenda hilo jimbo mahususi awaeleze nia yake,huwenda nao wakawa na nia nae pia!

Maana kua na nia sio tatizo,tatizo ni wapiga kura kua na nia na wewe pia!
 
Ni haki yake

Who cares?

Interestingly,sisi sio wapiga kura wake

Ni vizuri akaenda hilo jimbo mahususi awaeleze nia yake,huwenda nao wakawa na nia nae pia!

Maana kua na nia sio tatizo,tatizo ni wapiga kura kua na nia na wewe pia!


πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Wakimtimua Ndugai Makonda huyu hapa yeleeeew
 

Hatimaye utabiri wangu umetimia. Nakutakia kila la heri Mkuu Pascal Mayalla. You can make it bro. Najua unaenda tu CCM! Maana dalili zote ziko wazi. Ushauri wangu kwako ni mmoja tu: Jitenge na unafiki! Kwenye kusifia, sifia! Lakini panapotakiwa kukosoa, tafadhali usijitoe ufahamu.

Sawa Mheshimiwa Mtarajiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…