REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Sasa brother utaki sema jimbo tatizo nini?Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla