Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Onaonyesha nawe ni mzee lakini una uandishi mbovu kabisa
 
Haha ha haa Daudi katika ubora wake.
 
Mkuu jitahidi matumizi sahihi ya herufi ndogo na kubwa na pia unaweka nukta pasipohusika na kuanza sentensi nyingine kwa herufi ndogo. Kiufupi hata ukiwa umeandika mada nzuri kiasi gani kama uzingatii kanuni za uandishi unapunguza uhondo wa mada.
Sawa Mkuu nalifanyia kazi saa nyingine ni kutokana na kisimu nachotumia,asante Best.
 
pasko huyu huyu ambaye anahimiza watu wachague viongozi kutokana na ukabila ??

yaani aliwahi kushauri humu eti kiongozi anapaswa kutoka kabila la waliokuwa wengi kwa maana wengi wape !!

Tokea hii siku nilimvua nyota zote na sijammbakishia hata moja
 
sijachanganya kitu.. alikuwa anapakuliwa huyo mzee mpaka mkewe kagundua
Mkuu mbona unamvunjia heshima mwenzio? Hata kama mmetofautiana kimtazamo au kiitikadi ya siasa sio uungwana kutumia lugha kama uliyotumia dhidi ya Mwana JF mwenzako

Zaidi ya hayo Pascal hata mtofautiane vipi kwa hoja, mtazamo na itikadi iwe kiimani ya dini au kisiasa sijawahi kumuona akitumia abusive language kwa mtu. Ni mtu mwenye staha sana kwa wengine
 
1996 Pascal Mayala alikua mtangazaji wa RTD akiendesha FM Radio yao iliyokua ikiitwa PRT(Powerful Realistic and Trustworthy Radio)

Nakumbuka alikua akipiga nyimbo mfululizo za kina Marijani, Zahir Ally Zolo na wengine mwenyewe akiita "kata kiu"
 
Tena ni mwanahabari mwenye maswali yenye mashiko Sana tu.Jamaa Yuko vizuri ktk fani yake.
Ajabu sana mpaka muda huu hajajitokeza tu. Halafu pascal Mayalla huwezimuina akikujibu kwa matusi japo ana lugha anaitumiaga ukikaa na kutafari vizuri utajua kakutukana ki utu uzima. Ni mmoja ya wanahabari na Broadcaster mzuri sana sema msukuma mwenzake hataki watu kama kina mayalla. Na anamjua ndiyo maana alipomlima na swali la katiba akalisepa na kumtania bila kujibu na pascal alilitambua akaamua kumnyamazia. Ama siyo angemmaliza na swali la nyongeza. Wanaombeza hawamjui Mayalla vizuri
 
Pascal gani amewahoji wanasiasa mwaka 1995, Pascal huyuhuyu wa JamiiForums au mwingine ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…