Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

KITIMOTO
KITI MOTO
 
Hiki kipindi cha Kitimoto nakikumbuka sana na inaaminika kuwa alikifunga Mtumishi wa Mungu Askofu Mkuu Zacharia Kakobe. Askofu Kakobe alikuwa mtu wa mwisho kuhojiwa kwenye kipindi hicho halafu baada ya hapo kikapotea mpaka leo hii! Could be huyu mtumishi wa Mungu kilikuwa hakimfurahishi aliamua kwenda kukifunga? Inaweza kuwa alionyeshwa kwenye ulimwengu wa roho kuwa kina madhara huko mbeleni hivyo akaamua kwenda kukifunga. Yaani kwenye events kama hizi, hapo ndiyo watumishi wa Mungu ninapowanyooshea mikono, kabisa!
 
Alianza kubadilika pale alipoitwa dodoma

Akaoneshwa ukuu wa dola

Akatishika kweli kweli


Akapotea JF kama mwezi hiviii

Aliporudi akaanza kung'ata na kupuliza ili tusimshtukie mapema [emoji2]

Hatimaye akawa MPULIZAJI HURU.

pia kwa umaruufu wake Hapa akaiona Fursa ukizingatia ana miaka 50 na kitu na Hana pensheni .

So akaamua kuwa MPULIZAJI at least bwana mkubwa amkumbuke katika ufalme wake .

Ikumbukwe aliwahi muuliza swali kali bwana mkubwa

Na mbaya zaidi kaanza kuwa "prophet of doom" he always wishes doomsday to come in Tanzania for his devilish foresight about someone the "damned"

Amekuwa mpiga bao,ana practise ulozi waziwazi (ulozi sio lazima upae na ungo angani).

Kama ni unafiki basibasi mayala ni mnafiki kweli kweli (apewe tuzo[emoji2])

Sawa ana UHURU wa kuchagua cha kuandika na kusema (but not to that extent)[emoji2]

Nachoweza sema namuonea Imani na namuombea Sana usikute anakumbana na mengi Sana .yanayopelekea abadiliki hata Imani yake .

Ama kwa hakika siku zile tabu na shida zitazuka mama atamsaliti mwana ,baba atamsaliti binti .

Tumuombee Pascal Mayalla!!

Na wote tuseme Amina ,
 
Usimuone nyani mzee amejikalia juani ukadhani anaumwa au bwege. Itoshe kufahamu kuwa amekumbana na mengi na amekwepa mishale mingi na pale juani anatafakari ya kufanya.
 
Kuna wakati nasoma kwa makini hoja zake ah nami hujiuliza vipi huyu but kuna wakati naona anatumia kitu katika fasihi kinaitwa "irony' yani mtu kusema kitu kumbe ni kama kinyume chake.
Pia makala zake nyingine ni kama zinaonyesha ana uoga fulani kwa kuzifanya ziinamie upande anaouhofia.
Anyway historia ya uandishi wake hunifanya niendelee kumsoma lakini insnipa kazi kutafakari zaidi kulikoni!
Paschal wa kipindi kile alikuwa paschhal sio huyu wa kipindi hichi amebadilika sana ila tusimlaumu sana umri nao na njaa lazma abadilike
 
CCM inatakiwa wamfikirie huyu nguli wa habari ili walau astaafu kwa heshima, kawafanyia mengi mazuri !! teuzi na teuzi zinapita ila jina hatulioni - kulikoni? - si vzr hivi.
 
CCM inatakiwa wamfikirie huyu nguli wa habari ili walau astaafu kwa heshima, kawafanyia mengi mazuri !! teuzi na teuzi zinapita ila jina hatulioni - kulikoni? - si vzr hivi.
Pascal Mayalla,hawezi kupata uteuzi hata wa afisa mtendaji,
Aliyekuwa anamtegemea kumpa uteuzi hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…