Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Tatizo wengi hawajui maana ya neno mafanikio..
Je mafanikio ni Pesa ?
Je mafanikio yanapimwa na wewe binafsi au jamii inavyotaka ?
In short mafanikio ni kufanikisha kile ulichokianza (kwahio kama unamuita nguli inamaanisha alishafanikiwa kwenye kile alichokifanya) jambo ambalo majority wanakufa hawajafikia ndoto zao...
Huwezi kusema kwamba Tyson hakufanikiwa sababu alifirisika (wakati alikuwa bingwa wa ndondi duniani)..., huwezi kumcheka Msaanii wa Muziki (mfano Whitney ) sababu mwisho wake haukuwa mzuri wakati kwenye peak nyimbo zake ziligonga dunia nzima.... (wakati wewe hata ukianza kuimba tu waliokuzunguka wanaziba masikio).....
Tuache kufuatiliana Maisha..... (Huo muda tuwekeze kwenye maisha yetu sababu nina uhakika kuna mengi ya kurekebisha)