Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

Kwanza nampongeza kupata hiyo nafasi, maana kwa ninvyofaham mfumo wetu wa kiserikali/kisiasa ukiwa (kwenye tasnia) yoyote ukajifanya kuinanga na kuitweta serikali na kuonekana you're threat for future basi utasaga meno mpaka utakapoondoka duniani.

👉🏾 Kama hayaja kukuta ndiyo unaweza kumponda huyu jamaa.
 
Still Pascal Mayalla akiamua kuandika habari za kichunguzi kuhusu rushwa mabrabarani, kwenye mizani , utoaji wa dhamana hakuna muandishi anamkuta Tanzania hi, one thing he has exceptional ni msomaji na anajua vitu vingi.
 

Jiwe alisema Mayalla ni sawa na Njaa, kama ujuavyo Njaa ni Mbaya. Una swali?
 
Private sector hailipi, Pascal Mayalla alikuwa na kampuni ya ya PPR, lakini mfumo aliokuwa akiutetea ndio umeua biashara yake
 
Umemaliza mila kitu Mungu akubariki.
 
Umeelezea vizuri sana Mkuu.
 
wanaziua wenyewe mkuu, siku hizi badala ya media kutafuta content, content zinawatafuta. yaan ukiwa na hela unaweza kabisa kununua kipindi redioni ili wakuhoji na ukachagua maswali ya kukuuliza.

nilisikitishwa sana na kipindi cha sabaya juzi pale clouds.
Nani atapoteza mda wake kufuatilia hizo media..
tusiisingizie technology ambayo ipo kila nchi lakini hatuoni anguko kubwa kama huku, waandishi na wamiliki wa media wamekosa ubunifu, uwezo na wanaua media kwa mikono yao wenyewe
 
Msimseme vibaya kaka Mayala..sio yeye tu. Tuseme ukweli watu wengi tu asilimia 80 mambo hayakuenda vizuri kipindi cha Magufuli. Unakuta kipindi cha JK mtu ulikuwa una move kwenye right direction, lakin baada ya jamaa kuingia akavuruga kila kitu. Hivyo mtu kujipanga na kuanza upya sio ujinga. Na ndo maana watu wengi wanamshukuru Mungu kwa kumuondoa mwendazake. Maana sijui ingekuwaje mpaka angemaliza miaka 4 zaidi? Na huenda angegoma kuondoka kabisa..watu wengi wangekuwa mafukara kabisa!
 
Acha awafundishe, Kuna mmoja nilimsikia care fm tanga anatamka sosikijaa badala ya "sosha". Wanaudhi Sana Hawa ma bogus.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mie toka aseme amegombea ubunge sijui wapi nikamuweka dustbin mapema sana..simpendi tena!ingawa najua kila mtu ana uhuru wa kuchagua apendacho ila tulipofikia ilikua hapana![emoji706]
Hakugombea ubunge, kura za maoni alipata kura moja akaondolewa kwenye uchaguzi.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…