Ngoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Waziri Mkuu analitumia suala hili kisiasa na kuweka ubinafsi mbele, hili litamchafua zaidi kuliko kumpa heshima.Ngoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Hii kwenye martial arts tunaiita 'fighting whilst standing on your two legs'.Ngoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Tatizo hachelewi kuzinguaπKiasi naona Mayalla Sasa Kakaa mstari
Mzungu au Sope??Hata yule Mzungu alijichanganya tu sababu yupo kwenye ajira akifungiwa atakosa kibarua.
Maoni ya mtu yanahusiana vipi na taaluma yake ya uandishi?
Non practising registered journalists ambao ni wanasiasa mf Salum Mwalimu wakikosoa serikali kwenye majukwaa nao wataitwa JAB?
πππ mie nilicheka sana, afu nilijisemea huyu Pasco lazima wa deal nae.Nimerudi kusikiliza ile Clip ya kwanza kumbe mzee wa voice from Within alimwaga upupu haswa.
"Eti asikwambie mtu kupendwa kuzuri Bwana, unaweza ukawa unavaa maskafu na mabendera kwenye nguo halafu unaona wanaopigiwa makofi ni wenzako lazima ikuume tu" , π€£π€£π€£