Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
mpe kichwa utamkuta mabwepande!Hongera mzee wa Voice from within,Pambania haki yako ya kikatiba

We ulitaka afanye nini? aombe msamaha?mpe kichwa utamkuta mabwepande!
Huyu hajakoma tu. Hakuna aliyeshindana na JMT akaishinda.Ngoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Pia soma > Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili
Ngoma bado NZITO, ahahahaa

Nchi inaongozwa na wapumbavu kutoka juu mpaka chini.Ngoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Pia soma > Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Shida ya uchawa ni kujipendekeza na kudandia mambo yasiyohusika. JAB wanajipendekeza kwa Samuya wapewe teuzi.Tatizo la JAB wakijichanganya tu watapoteza Relevance.Lengo la kuunda JAB sio kusimamia waandishi ni kutambua waandishi.Lengo la JAB sio kufanya censorship ni kuweka ORDER kwenye media Industry sasa wanapojichanganya itafika wakati TLS nao wataanza kuwapiga PIN wanasheria ambao wanatetea watu ambao Serikli inawaona hawafai.
Kimsingi JAB iachane kabisa na Censorship kama inataka kuendelea kujenga heshima ya Industry ya Media
Naomba video plsNgoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Pia soma > Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili
Kwanza unasema uongo wa waziwazi mimi nimemsikia mayala ameomba radhi na kasema waziwazi kuwa hawezi kuthibitisha alichokisema,pia ameeleza kuws tcra nao wamewaita jambo kujieleza juu ya jambo hilo,ndipo aliposema kuwa yeye alitoa maoni na kwakuwa ana haki ya kutoa maoni.Ngoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Pia soma > Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili
Your a rubisKwanza unasema uongo wa waziwazi mimi nimemsikia mayala ameomba radhi na kasema waziwazi kuwa hawezi kuthibitishs alichokisema,pia ameeleza kuws tcra nao wamewaita jambo kujieleza juu ya jambo hilo,ndipo aliposema kuwa yeye alitoa maoni na kwakuwa ana haki ya kutoa maoni.