Pascal Mayalla na mwenzake waendeleza ligi dhidi ya JAB, Asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila uhuru wake wa kutoa maoni usiingiliwe

Pascal Mayalla na mwenzake waendeleza ligi dhidi ya JAB, Asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila uhuru wake wa kutoa maoni usiingiliwe

😂😂😂 mie nilicheka sana, afu nilijisemea huyu Pasco lazima wa deal nae.
Na imekua kwelii. 😂😂😂
Hata yeye alijua kwani ana experience ya muda mrefu ndiyo maana huwa yuko makini kulenga direct ingawa hapa kaamua kujilipua mazima, obviously alishajipanga namna ya kukabiliana na makombora.
Kutoa maoni ni haki yake ya msingi kabisa japo kibongobongo unaweza kuambiwa ni uhaini.
 
Ngoma bado NZITO, ahahahaa

Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.

Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa

KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Weka link tukajionee wenyewe alichosema
 
Hata yeye alijua kwani ana experience ya muda mrefu ndiyo maana huwa yuko makini kulenga direct ingawa hapa kaamua kujilipua mazima, obviously alishajipanga namna ya kukabiliana na makombora.
Kutoa maoni ni haki yake ya msingi kabisa japo kibongobongo unaweza kuambiwa ni uhaini.
Wacha tusubiri tuone. 😂😂😂
 
Nikikumbuka mabango kama haya vijana waliyaweka mitandaoni kuelekea tarehe 29 halafu yule nyang'au baadae anasema eti hajui sababu za vijana kuandamana hivyo anajiundia tume ikamlete sababu ni dalili tosha hakuna akili pale hata ile division zeto aliyopata 1977 alistahili hata leo hii akirudi shule atapata tena 0.
 
Bahati nzuri amesomea sheria anajuaa nini ameongea ila kwa udikteta wa hii serikali hakuna atayevumilia kukaa kimya maana wanataka kututawala ila hawataki kukosolewa laabda watawale wale watu wenye upungufu wa akili au machawa wao.
 
Tatizo la JAB wakijichanganya tu watapoteza Relevance.Lengo la kuunda JAB sio kusimamia waandishi ni kutambua waandishi.Lengo la JAB sio kufanya censorship ni kuweka ORDER kwenye media Industry sasa wanapojichanganya itafika wakati TLS nao wataanza kuwapiga PIN wanasheria ambao wanatetea watu ambao Serikli inawaona hawafai.

Kimsingi JAB iachane kabisa na Censorship kama inataka kuendelea kujenga heshima ya Industry ya Media
 
Ngoma bado NZITO, ahahahaa

Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.

Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa

KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.

Pia soma > Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili
Ukishajua kitu ni haramu huwezi kukubali kibwege bwege ukiwaukiza wameshinda kwa uchaguzi gani na wapi majibu hawana hivyo ni watu batili duniani mpaka ahera
 
Back
Top Bottom