Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Ama Nipsey Hussle alivosema "stay ten toes down"Hii kwenye martial arts tunaiita 'fighting whilst standing on your two legs'.
Safi sana Paskali.
Hell to the big YEAH 👍🏾.Ama Nipsey Hussle alivosema "stay ten toes down"
😃😃 Naona nayeye kaamua kuwavimbia tu😂😂😂 mie nilicheka sana, afu nilijisemea huyu Pasco lazima wa deal nae.
Na imekua kwelii. 😂😂😂
Kwamba hizi kauli za kibabe za hawa Wakulungwa hazitolewi bure au sio?TISS kazini
Hata yeye alijua kwani ana experience ya muda mrefu ndiyo maana huwa yuko makini kulenga direct ingawa hapa kaamua kujilipua mazima, obviously alishajipanga namna ya kukabiliana na makombora.😂😂😂 mie nilicheka sana, afu nilijisemea huyu Pasco lazima wa deal nae.
Na imekua kwelii. 😂😂😂
Weka link tukajionee wenyewe alichosemaNgoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Mpaka imefanya tujisikie vibaya kwa kumpiga michokoo ya unafki humuKiasi naona Mayalla Sasa Kakaa mstari
Wacha tusubiri tuone. 😂😂😂Hata yeye alijua kwani ana experience ya muda mrefu ndiyo maana huwa yuko makini kulenga direct ingawa hapa kaamua kujilipua mazima, obviously alishajipanga namna ya kukabiliana na makombora.
Kutoa maoni ni haki yake ya msingi kabisa japo kibongobongo unaweza kuambiwa ni uhaini.
😂😂😂😂😃😃 Naona nayeye kaamua kuwavimbia tu
Nikikumbuka mabango kama haya vijana waliyaweka mitandaoni kuelekea tarehe 29 halafu yule nyang'au baadae anasema eti hajui sababu za vijana kuandamana hivyo anajiundia tume ikamlete sababu ni dalili tosha hakuna akili pale hata ile division zeto aliyopata 1977 alistahili hata leo hii akirudi shule atapata tena 0.
Teuzi enthusiastHongera mzee wa Voice from within,Pambania haki yako ya kikatiba
Masai hawekewi dhamana.Tatizo hachelewi kuzingua😂
Ukishajua kitu ni haramu huwezi kukubali kibwege bwege ukiwaukiza wameshinda kwa uchaguzi gani na wapi majibu hawana hivyo ni watu batili duniani mpaka aheraNgoma bado NZITO, ahahahaa
Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee!
Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe.
Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
KIMSINGI Ile BODI ya ithibati iliundwa Ili kuwadhibiti vimdomo mdomo kama Pascal Mayalla sasa kama hutaki wewe kawe mkulima au endeleza kipindi chako Cha PPPR uwasifie wapigaji.
Pia soma > Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili