Pascal Mayalla na mwenzake waendeleza ligi dhidi ya JAB, Asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila uhuru wake wa kutoa maoni usiingiliwe

Huyu hajakoma tu. Hakuna aliyeshindana na JMT akaishinda.

Nimekuomba ni Chief Kipenyo Paschal Mayalah Mzee wa System basi imeisha hiyo

Hahahaha 😆 🤣
 

Huyu Mzee ni Mtata Sana tangu enzi za Mkapa na kipindi chake cha ITV cha kipindi Kile cha KITI MOTO

Paschal mtata mtata sana alimuuliza swali JIWE siku Moja, Jiwe akaishia kusema MAYALA maana yake Njaa na akakwepa Swali lake

Natumaini hata JAB wameulizwa swali Moja tu na huyu Mzee, wakaamua kumpa onyo.

Haogopi Mtu huyu Mzee P. Mayallah
 
Nchi inaongozwa na wapumbavu kutoka juu mpaka chini.

Even a journalist is entitled to freedom of expression!
 
Kwani hawa JAB na hawa wa kujiita Viongozi wao ni wa kina nani? Ina maana wao wana akili kuliko Watanzania wasio na vyeo au viongozi kwenye hii Nchi?

Ifikie mahali uhuru wa maoni binafsi upewe nafasi, sio Mtanzania anatoa maoni yake anaonekana na mhalifu.
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Shida ya uchawa ni kujipendekeza na kudandia mambo yasiyohusika. JAB wanajipendekeza kwa Samuya wapewe teuzi.
 
Naomba video pls
Nimpongeze
 
Kwanza unasema uongo wa waziwazi mimi nimemsikia mayala ameomba radhi na kasema waziwazi kuwa hawezi kuthibitisha alichokisema,pia ameeleza kuws tcra nao wamewaita jambo kujieleza juu ya jambo hilo,ndipo aliposema kuwa yeye alitoa maoni na kwakuwa ana haki ya kutoa maoni.
 
Hapo home boy kajitahidi kaamua liwalo na liwe. Madilu iilimuuma sana kutokushangiliwa na bado inamuuma sana Mayala nae akapigilia msumali pale pale panapo uma🤣🤣🤣
 
Your a rubis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…