Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola


Yani kwa Hisia tu unamwandika mtu ndugu yangu. Hivi kweli kabisa ungeishi kwa amani wewe kama Idara nyeti unayosema isijue kinachoandikwa na kusemwa na Watanzania Duniani. Hata ukitumwa jifunze kutumia akili kuliko hicho kiungo ulichotumia na kutumiwa Kuandika.
 
Najipongeza kwa kukacha kusoma mashudu ya paschal Mayalla kwa muda mrefu sasa.Jamaa anaboa sana.

Kisa yuko kinyume na unachotaka aandike. Kwanza 96% sijui Kama IQ yako inamwelewaga Mayalla. Ndo mtu anayejielewa na yuko huru kama mwandishi. Ukiona mwandishi anaandika ubaya Wa CDM tu Au ubaya Wa CCM tu basi huyo Sio mwandishi ni mwanachama Wa upande mmoja. Demokrasia na Maendeleo mnatuambia inasimamia pia uhuru Wa mtu kaniandika ukweli na pia kutoa maoni yake. Humu wote maandikia hisia za kijinga. Then mnakaa mnadhani vyama ndo vitawaletea Maendeleo. Majungu mwaka mzima. No job. Kwa aina ya maisha ya uvivu na majungu Hakuna Kiongozi atakayekuja kuwafaa huko. JPM anawatosha. Kawabana mnabaki kumtungia Mambo as if Yeye katibu wa nyumba kumi. So kama ukweli ndo unakubore my dear just Die.
 
Mwandishi wa habari hii ni mfano ya wazandiki waliojaa hapa JF.
Kwanini uone kuwa Eric Kabendera akiandika anakuwa ndio anatumia uhuru wa kujieleza lakini Pascal Mayala akiandika anakuwa anamtetea Msukuma mwenzake?

Hapo ndipo ninapo shindwa kuwaelewa wanao sema oooh tunahitaji demokrasia na uhuru wa kujieleza...
 
For sure kwa namna alivokuwa akihakikisha kila makala anaipandisha tena kwa mbwembwe, alikua anamjua kabisa Mwandishi ni nani.
 
Pumba tupu!

Eti angemuita akamuonya, WTF

Angemlipa???.

Mtu anaishi kwa kazi hiyo,utamwambia nini? Ili akuone mchawi au?


Kwani Kabendera ni mtoto kwamba hajui alichokuwa anakifanya.

Msitake kuwahusisha wengine na ujinga wa watu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…